sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Nadhani sasa wasichana wa kibongo kuna mganga anawadanganya kuwa ukiwa na midomo ya namna hii wewe utaonekana mtamu, kitu kilichoperekea kila mschana kupiga picha akiwa amekunja midomo kama anapiga mruzi.!
wengine siku hizi mmejigeuza walemavu wa miguu, mnalazimika kijikunja katikati ili uonenae umebinuka ili uonekane mtamu kumbe ndo kwanza unakuwa kama joka la kibisa.!
wengine siku hizi mmejigeuza walemavu wa miguu, mnalazimika kijikunja katikati ili uonenae umebinuka ili uonekane mtamu kumbe ndo kwanza unakuwa kama joka la kibisa.!