Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndiyooii!!ha ha ha ha neema za alah enheee bas kherii
haaa nkusubiri kusifiwa walimwengu mtasubiri mpk nife!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndiyooii!!ha ha ha ha neema za alah enheee bas kherii
Uzuri wa mwanamke si urembo....!!walai kama midomo yako ipo hivo we basi tena aliyekuwai amshukuru Mungu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]urembo unachangia, my dear, kuwa mchafu hata aliejuaoa atakukimbia, kwa kwenda kwqa mchepuko.
Usjali [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] pole dogo languu!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bi tukinaoUsjali [emoji1]
Ila hii ya kuwa dogo lako hii!
Si mbaya hata zari alianza kumuita domo dogo hivo hvo
waache waimbe hiyo lips ni douuuma !! bora ningerudisha mshare wa muda nyuma, back on time. ningekuja kulala mlangoni kwako. mpaka ungenionea huruma. sipati picha ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bi tukinao
Teh teh teh. Dah! Hapana isee, ni jina tu mkuu. Ninaitwa Sakasakamao. Lakikni kwa kuwa ni jina refu na kutamkika kwa baadhi ya watu ni shida, nikaamua kuligawa... Sakasaka Mao.sakasaka ipi mkuu au ya meatu-simiyu?
Kitu kizuri,wasimaindi kwa sababu gani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wamemind!!
wabongo bwana!!
oyoooo umeuwaaa mi wa meatu moja!! we wap mkuuTeh teh teh. Dah! Hapana isee, ni jina tu mkuu. Ninaitwa Sakasakamao. Lakikni kwa kuwa ni jina refu na kutamkika kwa baadhi ya watu ni shida, nikaamua kuligawa... Sakasaka Mao.
Yaonesha wewe ni mwenyeji wa Mwanhuzi, maana ulivyosema umenikumbusha adi Mwanjoro.
Ha ha inakuhusu wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha inakuhusu wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kitu kizuri,wasimaindi kwa sababu gani?
Naona wewe hayajakupata. Unaona ni ya kawaida ama ni vitu vidogovidogo'eeh!
Watu huwaga wanalia'ujue!
Hii inaitw " sizitaki mbichi hizi"urembo unachangia, my dear, kuwa mchafu hata aliejuaoa atakukimbia, kwa kwenda kwqa mchepuko.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Me mwenyeji wa Bariadi mjini, mtaa wa Malambo. Nilipafahamu Meatu vizuri tulipokuja kutatua migogoro (vita)ya Wasukuma na Wataturu kule Bukundi, wakigombea malisho na malambo ya kunyweshea mifugo. Ukini"pm" nitakupa "full story".oyoooo umeuwaaa mi wa meatu moja!! we wap mkuu