Walai usiulize kama ni mtam, inshara hii yatosha kujua kuwa yu.....

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Nadhani sasa wasichana wa kibongo kuna mganga anawadanganya kuwa ukiwa na midomo ya namna hii wewe utaonekana mtamu, kitu kilichoperekea kila mschana kupiga picha akiwa amekunja midomo kama anapiga mruzi.!

wengine siku hizi mmejigeuza walemavu wa miguu, mnalazimika kijikunja katikati ili uonenae umebinuka ili uonekane mtamu kumbe ndo kwanza unakuwa kama joka la kibisa.!
 
Du!
 
Mbona umeirudia mara nyingi sasa hiyo picha?!

Lakini kama hutajali ni-PM mawasiliano yake huyo binti,
 
ni mdomo uliotayari kwa kiss, avator pc inawakilisha. ni mtazamo wangu tu !!
 
Yeah wenye lips Nene huwaga no hatari sana kunako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…