We demu kumbe tunakulaga wote kitimoto mimi, wewe na Simara sehemu moja[emoji15] [emoji15] [emoji15] namba 2: Mibbs Sinza??? Shangaa wapi? kumbe nakujua na labda na wewe unanijua?....asee kumbe tunajuana?.....sitaki tena ugomvi jf asee![emoji119] [emoji119]
Simara
Jason Statham2
KAPONGO
@joowezy
Sio siri nimeshangaa...kuna mtu unazinguana nae mitandaoni kumbe mnalewaga wote[emoji15] [emoji15] ....serious nimekoma[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23]
[emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ....asee nimeshangaa kweli?!!!...
Sio vizuri kuzinguana mitandaoni unaweza wekewa hadi sumu[emoji15] kama mtu anakujua! Sitaki tena asee[emoji119] [emoji119]
Hahaha sema huwa sipendi kuingilia privacy za watu mkuu nawaangaliaga tu najiuliza huyu ni nani navuta picha tu zisizoisha nasepa zangu
Siku za weekend ukiwa Mibbs uwe makini ukiona mtu kasogelea mezani kwenu anaomba kukaa alafu hana maongezi sana ujue ni spy mimi najaribu kudukua mambo kadhaa.. Nisikie kama mnaongeleaga mambo ya JF ni member gani mnamuongelea sana [emoji23][emoji23]
Kesho kuanzia saa tisa nitakuwepo hilo chimbo.. Nitawadere tu wana JF alafu niseme hiiiiiiiiiHahahahaaa.. mi kuna kakona kangu karibu na counter nakaaga hapo kuchaji kimeo changu.
Unatakiwa ujifunze u detective.. Nikiona nakwama huwa naomba simu namdanganya sina bundle naomba niangalie matokeo ya mpira nimebet sasa mkeka wa hela unaelekea ku tick bado team moja tu. Hapo sio rahisi akunyime simu [emoji23][emoji125][emoji125]Hahaahahahaa. Siku ya mpira nilienda mara moja nadhani. Mi nikiona mtu ana app ya JF kwenye simu akili haituliagi. Bahati mbaya sijawahi kujua ID ya mtu hata mmoja.
We demu kumbe tunakulaga wote kitimoto mimi, wewe na Simara sehemu moja[emoji15] [emoji15] [emoji15] namba 2: Mibbs Sinza??? Shangaa wapi? kumbe nakujua na labda na wewe unanijua?....asee kumbe tunajuana?.....sitaki tena ugomvi jf asee![emoji119] [emoji119]
Simara
Jason Statham2
KAPONGO
@joowezy
Ni kweli asee!...umenenaNdo maana nasemaga usigombane na mtu mtandaoni utakuta ndo yule shosti wako weekend haipiti hamjagonga glass.
mibbs naendaga ila mara nyingi naenda kunywa kuliko kula. Kama leo naweza kwenda nikitoroka kazini naenda kula biriani nikitoka hapo nazama mibbs mpaka saa tatu nne narudi kulala.
[emoji23] [emoji23] [emoji28] [emoji28] ...the same[emoji85] [emoji86] [emoji86]Hahahahaaa.. mi kuna kakona kangu karibu na counter nakaaga hapo kuchaji kimeo changu.
Wapo wa hivoo....usichukulie poaLol. Hiyo chuki au roho mbaya sasa? yani mzinguane kidogo mtu akuwazie sumu? sema mtanuniana tu. Sasa mkute mnasharw kampani ndo uwiii.
Nikiona tu anaekodoa sana nitakuwa nishakujua tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakua nikienda naangaza angaza macho
Mi nina ugwadu wa Robertson nikitoka job naenda Governors Biafra... Mibbs jumapili ntakuwa hapoKesho kuanzia saa tisa nitakuwepo hilo chimbo.. Nitawadere tu wana JF alafu niseme hiiiiiiiii
Haaahaaaa....umeshtuka na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakua nikienda naangaza angaza macho
Njoo Mibbs kesho saa 9:30Mi nina ugwadu wa Robertson nikitoka job naenda Governors Biafra... Mibbs jumapili ntakuwa hapo
Mibbs hadi jpili bestNjoo Mibbs kesho saa 9:30
[emoji119][emoji119]Mibbs hadi jpili best
Umenipa dili asee ukikuta MTU mpole sana kwenye hako kakona ujue ndo Mimi. Please uckatae ofa yangu. Haina masharti...Hahahahaaa.. mi kuna kakona kangu karibu na counter nakaaga hapo kuchaji kimeo changu.