Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Kuna siku niliwachambaaa. Bahati yao sikua nalipa bill mimi ila ningeondoka na bill washike adabu wajifunze kuheshimu wateja.
Yani mtu unamuomba bill anatumia 40mins kuandaa.
Management ya pale inawalea wale wahudumu
Asee nilidhani nimeona hii ishu mwenyewe[emoji15] [emoji15] ...hivi why?
 
Hahahahaaa. Pale hata aende nani. Tuliendaga na mkurugenzi mmoja wa manispaa jamani na wanamjua ila walimpa huduma nikamwambia ningekua mimi kesho ningewafundisha jambo. Itakua hawajui tip zinapatikanaje wale
Si unajua tena....wengine tuna match mionekano yetu!

Unaonekana huna hela nani atakuwa na time na wewe!

Sirudi tena pale.
 
Huyo mr kuku sijala ila nina imani Dar hii hamna anaemfikia Sele bonge kwa biriani. Nilielekezwaga Temeke Sudab kwa Kidishi. Nikaambiwa huyu ndo bingwa wa biriani Temeke nzima. Aiseee. Nilienda kula mara tatu biriani haidamshi kabisa. Nikaachana nalo
Hivi biriani la sele bonge linazidi la mr kukutz wa makumbusho?... Nilionjaga kote kote nikakuta yule mpemba hamfikii Mr kukutz asee
 
Hahahahaaa. Pale hata aende nani. Tuliendaga na mkurugenzi mmoja wa manispaa jamani na wanamjua ila walimpa huduma nikamwambia ningekua mimi kesho ningewafundisha jambo. Itakua hawajui tip zinapatikanaje wale

Huyo mr kuku sijala ila nina imani Dar hii hamna anaemfikia Sele bonge kwa biriani. Nilielekezwaga Temeke Sudab kwa Kidishi. Nikaambiwa huyu ndo bingwa wa biriani Temeke nzima. Aiseee. Nilienda kula mara tatu biriani haidamshi kabisa. Nikaachana nalo

Hapo ushawahi kwenda?

Mibbs noma sana....hawaibi na kitimoto chao ni balaa...wameharibu kitimoto cha B bar mtu hawezi kula hapo while mibbs wako pembeni yake!
Hvi pale kwa Remmy wanapaita De France wanaishinda ya mibbs sijawahi kukanyaga pale ila nasikia watu wanapasifia pia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…