Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Umenivunja moyo wa kwenda pale nilikuwa nijiandae niende itabidi tu nikatembelee mibbsWee waache!... Kitimoto kitamu balaa but unapunjwa mpaka[emoji15] [emoji15]... 13000 mchezo?
Wanalewa sifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umenivunja moyo wa kwenda pale nilikuwa nijiandae niende itabidi tu nikatembelee mibbsWee waache!... Kitimoto kitamu balaa but unapunjwa mpaka[emoji15] [emoji15]... 13000 mchezo?
Wanalewa sifa
Mibbs noma sana....hawaibi na kitimoto chao ni balaa...wameharibu kitimoto cha B bar mtu hawezi kula hapo while mibbs wako pembeni yake!Umenivunja moyo wa kwenda pale nilikuwa nijiandae niende itabidi tu nikatembelee mibbs
Asee nilidhani nimeona hii ishu mwenyewe[emoji15] [emoji15] ...hivi why?
Si unajua tena....wengine tuna match mionekano yetu!
Unaonekana huna hela nani atakuwa na time na wewe!
Sirudi tena pale.
Ila na wewe unajua kufaidi mahanjumati si mchezoHivi biriani la sele bonge linazidi la mr kukutz wa makumbusho?... Nilionjaga kote kote nikakuta yule mpemba hamfikii Mr kukutz asee
Hivi biriani la sele bonge linazidi la mr kukutz wa makumbusho?... Nilionjaga kote kote nikakuta yule mpemba hamfikii Mr kukutz asee
Mibbs noma sana....hawaibi na kitimoto chao ni balaa...wameharibu kitimoto cha B bar mtu hawezi kula hapo while mibbs wako pembeni yake!
Hahahahaaa. Pale hata aende nani. Tuliendaga na mkurugenzi mmoja wa manispaa jamani na wanamjua ila walimpa huduma nikamwambia ningekua mimi kesho ningewafundisha jambo. Itakua hawajui tip zinapatikanaje wale
Huyo mr kuku sijala ila nina imani Dar hii hamna anaemfikia Sele bonge kwa biriani. Nilielekezwaga Temeke Sudab kwa Kidishi. Nikaambiwa huyu ndo bingwa wa biriani Temeke nzima. Aiseee. Nilienda kula mara tatu biriani haidamshi kabisa. Nikaachana nalo
Karibuni kwa mzee mushi Dodoma kikuyu tule kitimoto
Hvi pale kwa Remmy wanapaita De France wanaishinda ya mibbs sijawahi kukanyaga pale ila nasikia watu wanapasifia piaMibbs noma sana....hawaibi na kitimoto chao ni balaa...wameharibu kitimoto cha B bar mtu hawezi kula hapo while mibbs wako pembeni yake!
Bado kidoooogo then jana nilikua na house party sehemu basi full uchovuIle ishu vipi bado??[emoji15] [emoji15] ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"Katika wanyama woote walioumbwa kitimoto kaumbika kuliko woooteeee[emoji445][emoji445],kapewa na mafuta na nywele za kizungu na kamkia kafupiii pale kwa nyumaaaa,.upate kachumbari na ndizi za kuchoma na kaserengeti baridiii pale pembeniii[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]"
Niliwahi kula haikunishtua kabisa sijui kwa ninimtafute rest bbq..
Babu nakusalimia [emoji4][emoji4][emoji4]Tena ukila hiyo makitu huwezi pata UKIMWI wallah. Tuleni kwa wingi wajameni tuutokomeze ukimwi
Pooole my...nadhani itakuwa ni soon early beginning of januaryBado kidoooogo then jana nilikua na house party sehemu basi full uchovu