Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Pale sinza kwa Kamanda, sijui Kama bado kipo kile kijiwe ni balaa
 
Kitimoto inapatikana
Karibu weka order....delivery free week nzima.
@nguruwe_biashara
Contacts:
0672879278-whatsapp
0753568353
0762397421
 
Tip Top pale kwa nyuma ya bar ya SILVER kuna jamaa wanamwita BOSS JOHN Shenzi type yule skuwahi jua kama kuna ROST ya kongoro ya KITIMOTO bwana bwana bwana..Usiombe uwe na HELA akili inawaza wapi BOSS JOHN

Kwa JOHN KITIMOTO hyo sehemu naipenda maana kule mbele kwenye maduka kuna dada anauza vipodozi mzuri hakuna plus ana mzigo mfupi mfupi ivi kila nikienda maeneo hayo lazima nipite hapo.
 
Tip Top pale kwa nyuma ya bar ya SILVER kuna jamaa wanamwita BOSS JOHN Shenzi type yule skuwahi jua kama kuna ROST ya kongoro ya KITIMOTO bwana bwana bwana..Usiombe uwe na HELA akili inawaza wapi BOSS JOHN
Anatengeneza makange ya kitimoto??
 
Back
Top Bottom