Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Huu uzi umejaa wavaa pedo wanameza mate tu
 
Nimefika karagwe huku kata ya kanoni..kitimoto elfu tatu kilo moja.. Nikakaa chini kwanza machozi ya furaha yakintiririka.


Kitimoto yapaswa kubeshimiwa.
[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhaha...ukaanza kulia kwa furaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...ukizingatia Dar Kilo moja Buku 14[emoji134][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji23]....Sipati picha ulivyoagiza kwa pupa[emoji23][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Zenji naipata wapi wazee...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Songea nawapa shikamoo kwa Kitimoto. Kilo elfu 8 tena unapewa imetolewa ngozi kabisa. Two weeks nilifurahi mwenyewe coz pande la mbuzi lina bei kubwa kuliko nusu kilo ya Kitimoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…