Tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena?
Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za kukaanga,nimeshapanga ratiba yangu leo lazima nikale kitimoto.
View attachment 942375
View attachment 942377
Nb:
Mashekhe na Maustadhi tafadharini sana msije kuutia shombo uzi huu,
Huu ni kwa sisi wala kitimoto tu ukiona haukufai kafanye mengine siyo kuja hapa.
Cc Zero IQ

Itabidi siku nikupelekeI wish siku nitembelee pande hizo😋
Mmmh[emoji26] mbona hii walizidi?Nilienda saa 7 mpaka saa 10 sijaletewa chakula na nilikua mjamzito njaa iliuma mpaka nikataka kuzimia mbele naona giza, nawaambia wahudumu najisikia vibaya sana nileteeni wanajizungusha tu nikaishia kupelekwa Marie Stopes.
Toka hapo sijaenda na kila nnaekutana nae akitaka kwenda namshawishi asiende.
Hapo kuhifandhi njaa nilidhani niko peke yangu, kumbe hata wewe unajua kujisulubu?Nitaenda jmosi labda ratiba ziingiliane, tena nitahifadhi njaa sitokunywa hata chai.
Teh mwenyewe ulikuwa na mchuchu[emoji16]Haaa Mbona ume nichunia au ulikuwa na Baby Dady!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndio zao mibbsMmmh[emoji26] mbona hii walizidi?
Hata kitimoto yao sio kiviiile, mikaroti mingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishawahi kaa masaa matatu hapo na nilikuwa nishapiga simu...Nilienda saa 7 mpaka saa 10 sijaletewa chakula na nilikua mjamzito njaa iliuma mpaka nikataka kuzimia mbele naona giza, nawaambia wahudumu najisikia vibaya sana nileteeni wanajizungusha tu nikaishia kupelekwa Marie Stopes.
Toka hapo sijaenda na kila nnaekutana nae akitaka kwenda namshawishi asiende.
Kwanini hukunipitia!!!?
Haaa Mbona ume nichunia au ulikuwa na Baby Dady!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Oooh, ulikaa ndani?No sio Mimi me nilikuwa peke yangu na simu na kinywaji ndio vilikuwa vina saidia kusogeza muda .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Weekend hii mkuuKwanini hukunipitia!!!?
The only thing to fear is fear itself
Mh Ngoja tuone.!!
Mmmh[emoji26] mbona hii walizidi?
Hata kitimoto yao sio kiviiile, mikaroti mingi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishawahi kaa masaa matatu hapo na nilikuwa nishapiga simu...
Starehe inakuwa kero
The only thing to fear is fear itself
Hapo kuhifandhi njaa nilidhani niko peke yangu, kumbe hata wewe unajua kujisulubu?
Jana nilishinda hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi pia nimejiapiza sitaenda tena abadani...tena ukiwa na njaa ndipo hapafai zaidi.Wabongo tukiwa na watej wengi hudum zinakua mbovu.
Sasa masaa matatu na umepiga simu, mimi sikupiga na ilikua jumamosi cha moto nilikiona.
Kuna sehemu nyingine nilikula kitimoto konki sana maeneo ya buza tanesco kuna majiko mengi yaani lisaa tu ushaletewa msosi.
Buza Tanesco njia rahisi kufika huko ni ipi!??Wabongo tukiwa na watej wengi hudum zinakua mbovu.