share
JF-Expert Member
- Nov 22, 2008
- 6,064
- 10,468
Tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo kinapika kitimoto chenye Quality yaani ukigusa utatamani kesho uje tena?
Kama mnavyojua Utamu wa kitimoto upate na ugari au Ndizi za kukaanga,nimeshapanga ratiba yangu leo lazima nikale kitimoto.
View attachment 942375
View attachment 942377
Nb:
Mashekhe na Maustadhi tafadharini sana msije kuutia shombo uzi huu,
Huu ni kwa sisi wala kitimoto tu ukiona haukufai kafanye mengine siyo kuja hapa.
Cc Zero IQ
Ngoja nikamuulize rafiki yangu Abdallah huwa anakula wapi. Alinipeleka siku moja nimesahau njia. Sas