Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kuna chimbo liko ndani ndani sanaWatu wa tanga chimbo gani jingine zuri nishawah kupita sabasaba ila kitimoto chao sijawah kukipenda
Wabongo tukiwa na watej wengi hudum zinakua mbovu.
Sasa masaa matatu na umepiga simu, mimi sikupiga na ilikua jumamosi cha moto nilikiona.
Kuna sehemu nyingine nilikula kitimoto konki sana maeneo ya buza tanesco kuna majiko mengi yaani lisaa tu ushaletewa msosi.
Buza Tanesco njia rahisi kufika huko ni ipi!??
Wanauzaje huko kwa kilo!?
The only thing to fear is fear itself
Segerea sehemu gani mkuu?Kazi moto pork iko Segerea hakika kuna mszingira mazuri sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huu uzi wa kitimoto una mambo! Eti kuhifadhi njaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nitaenda jmosi labda ratiba ziingiliane, tena nitahifadhi njaa sitokunywa hata chai.
HAHAAA...hatari sanaaaaaa.😋😋😋"Katika wanyama woote walioumbwa kitimoto kaumbika kuliko woooteeee🎶🎶,kapewa na mafuta na nywele za kizungu na kamkia kafupiii pale kwa nyumaaaa,.upate kachumbari na ndizi za kuchoma na kaserengeti baridiii pale pembeniii🎶🎶🎶🎶"
Segerea sehemu gani mkuu?
Kule kwenye lile dimbwi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]Ndio ,wewe ulikaaa wapi ?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Weekend hii kazimotoMh Ngoja tuone.!!
Zamu ya Kazimoto lini
The only thing to fear is fear itself
Nilikula pale kama mara tatu sikurudi tenaHata kitimoto yao choma ya kawaida sana
Aah pale noma[emoji39]Twin kitimoto raha yake uwe na njaa ya maana.
Jumamosi nipo pale
Ni mle kwenye misitu?Hilo chimbo panaitwa mali Asili .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ooops!Ukitoka airport njia ya kuingilia yombo umbali kama kilomita 4 hadi 5 mkono wa kulia kuna uwanja mkubwa kuna nguzo nyingi za Tanesco zime mwagwa chini hapo hapo ulizia maliasili
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kitimoto yao na Rudi's kwa ladha yako ipi nzuri?Segerea shell ya oil Com njia ya kwenda kwa mkuu wa Majeshi ,umbali wa mita mita Mia mbili Mpaka miatu toka hapo oil Com.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bei ni ngapi pala micasa?
Kwa hiyo nikishukia stand ya Segerea ndiyo natembea hizo mita?Segerea shell ya oil Com njia ya kwenda kwa mkuu wa Majeshi ,umbali wa mita mita Mia mbili Mpaka miatu toka hapo oil Com.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kweli week end inakuwa mpango mzima..