Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Watu wa tanga chimbo gani jingine zuri nishawah kupita sabasaba ila kitimoto chao sijawah kukipenda
Kuna chimbo liko ndani ndani sana

Nenda Hadi Galanos Secondary (Nguvumali) pitia njia ya majani mapana hiyo sehemu iko karibu kabisa na mitambo na mitambo ya kupoozea umeme (zinaangaliana)

Wanafuga hapo na kupika hapo .

Niliwahi kuta Hadi wachina wanakuja kule kula kitimoto[emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wabongo tukiwa na watej wengi hudum zinakua mbovu.

Sasa masaa matatu na umepiga simu, mimi sikupiga na ilikua jumamosi cha moto nilikiona.

Kuna sehemu nyingine nilikula kitimoto konki sana maeneo ya buza tanesco kuna majiko mengi yaani lisaa tu ushaletewa msosi.

Hilo chimbo panaitwa mali Asili .


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Buza Tanesco njia rahisi kufika huko ni ipi!??
Wanauzaje huko kwa kilo!?

The only thing to fear is fear itself

Ukitoka airport njia ya kuingilia yombo umbali kama kilomita 4 hadi 5 mkono wa kulia kuna uwanja mkubwa kuna nguzo nyingi za Tanesco zime mwagwa chini hapo hapo ulizia maliasili


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukitoka airport njia ya kuingilia yombo umbali kama kilomita 4 hadi 5 mkono wa kulia kuna uwanja mkubwa kuna nguzo nyingi za Tanesco zime mwagwa chini hapo hapo ulizia maliasili


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ooops!

Ndo humo humo, wana nguruwe wazee mle usipime, japo wako fasta kupika, na customer care

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom