Hufiki Segerea ila ni kituo kimoja kabla ya kufika Segerea Mwisho halafu fuata maelekezo ya mkuu hapo juuKwa hiyo nikishukia stand ya Segerea ndiyo natembea hizo mita?
Kazimoto pale unaweza chukua Portion Ribs inakuwa na vipande kadhaa ambayo huwa 8500 .(mimi ndivyo nifanyavyo..
Kitimoto yao na Rudi's kwa ladha yako ipi nzuri?
Sijawahi kufika hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo baby king'ang'anizi balaaa[emoji25]Naomba niwe mwenyeji wako hilo chimbo huwa napita pita hapo.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Pale wanayo ya kuchoma,sio tz ,tu ni East Africa nzimaKuna kipindi nimekaa kilimanjaro Moshi mjini
kuna bar ipo opposite na CHAGA GRILL kuna kitimoto Tanzania namba moja sizani kama kuna wanaowakuta
Kitimoto kina wataalamu wake.
hahaha safi kama nawewe unawapata
Shukrani kaka! Kituo ni oilcom?Hufiki Segerea ila ni kituo kimoja kabla ya kufika Segerea Mwisho halafu fuata maelekezo ya mkuu hapo juu
The only thing to fear is fear itself
Hilo chimbo panaitwa mali Asili .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ntashukuru rafiki😀Itabidi siku nikupeleke
Twende nikupeleke mzee wa chura..Segerea sehemu gani mkuu?