Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Kazimoto
IMG-20200511-WA0024.jpeg


The only thing to fear is fear itself
 
Mzigua90 nimekuita rafiki yangu labda utupe machimbo mapya kwa sasa wakati tunaendelea na Self Lockdown!

The only thing to fear is fear itself
 
Kilo sh ngapi? Halafu kwa utamu kati yake na Rudi's wapi bomba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazimoto pale unaweza chukua Portion Ribs inakuwa na vipande kadhaa ambayo huwa 8500 .(mimi ndivyo nifanyavyo..

Kilo itakuwa 17000.

Zinakaribiana kuna siku wanachoma Vizuri mno ila Rudis naona wako vizuri zaidi! Yan wana Consistency



The only thing to fear is fear itself
 
Kuna kipindi nimekaa kilimanjaro Moshi mjini
kuna bar ipo opposite na CHAGA GRILL kuna kitimoto Tanzania namba moja sizani kama kuna wanaowakuta
Kitimoto kina wataalamu wake.
 
Back
Top Bottom