Walaji wa kitimoto tujuzane kijiwe kipi kizuri kwa hapo ulipo

Lol.. tulikutana na wewe?? mboma hukunishtua? siku hizi mahudurio yangu pale yamekua hafifu.
Ni kitambo kidogo.
Siku moja kwenye kona moja namkuta binti wa jirani yangu kwenye kona flani anagonga Henessy na classmate wake (A'level). Nikapewa salam ya uoga 'Shikamoo uncle P'.

Kumbe kijiwe chao ilikuwa ile club nyuma ya Tripple 7 (siikumbuki jina).

Alipochangamka akanifuata kaunta na vistori kama kujitetea!!! Naingia club hapo hao hapo! Sasa siyo uncle tena natambulishwa kama 'my big brother our neighbour'

Watoto wa Mbezi!!
 
Sio mimi kabisa. Kijiwe changu ni 777 tu.

Hakikisheni kinaiva vizuri, maana nasikia wengine kikikaangwa kidogo tu mnalazimisha kiipuliwe.
 
Back
Top Bottom