Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Vipi wadau kuna chimbo jimbo la kitimoto ? Wengine tupo mjini ,mtupe connection hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekubali[emoji119]Nilisha kwambia kwamba nyama Ina jua kuandaliwa Moshi na Arusha .Huku Dar Bado sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wewe tupe kwanza chimbo la kisusio!Vipi wadau kuna chimbo jimbo la kitimoto ? Wengine tupo mjini ,mtupe connection hizo
Wahi kitimoto uhifadhi ndani kwny friji hata kilo 4 hivi maana hapo kwny sikukuu kitawahi kuisha.
Unapafahamu the RiBs?Niko Arusha now, jamani kuna kijiwe nimeletwa na braza angu hapa themi karibu na ofisi ya madini!
Toka nizaliwe sijawahi ona kitimoto kama ile[emoji134][emoji134]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, kisusio kwa Mama MankaWewe tupe kwanza chimbo la kisusio!
Hahahaha, sikukuu hii inayoambatana na party ?Wahi kitimoto uhifadhi ndani kwny friji hata kilo 4 hivi maana hapo kwny sikukuu kitawahi kuisha.
Mkuu nipo serious please, hivi hapo kwa Mama manka ni wapi?Hahahaha, kisusio kwa Mama Manka
Hahah naam hii hii ya kusubiria mwezi kuandama.Hahahaha, sikukuu hii inayoambatana na party ?
hahahahaHahah naam hii hii ya kusubiria mwezi kuandama.
Ana parking?Hapa tabata bima kituo cha daladala kuna sehemu inaitwa steve pork ribs wanachoma vizuri sana kitimoto. Nimekula hapo cha kuchoma yaani ni kizuri, wanachoma vizuri sana
🙆🙆 kwenda kwa Morombo me bora nile ugali nyumbani nilale....Nikaishia kwenda kwa Mromboo[emoji3]
The only thing to fear is fear itself
Haha ni mbaya mno, yan me mtu akiniambia tu eti yupo kule kwenye nyama nabaki kumshangaa tu...Teh teh kule kwenye mbuzi?
Mbayaa mbuzi yao kama nini, nilikula jumapili last week kabla ya hili chimbo, hadi nikajuuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah kwanini sasa babe 😍Natumia sana rafiki, tena njaa yangu ni nonstop😀😀, siku twende hapo Kazimoto Pork basii
Ila sina chura😔
Hahah ugeni ulichangia sana,[emoji134][emoji134] kwenda kwa Morombo me bora nile ugali nyumbani nilale....
Dah😄😄🙆🙆 kwenda kwa Morombo me bora nile ugali nyumbani nilale....