Wengi ni wanafki na wasaliti wa nchi
Nafurahi Magufuli anavyowapuuza
Wengi ni wanafki na wasaliti wa nchi
Nafurahi Magufuli anavyowapuuza
Kama yeye tunavyompuuza.
Who cares about what mawe thinks?
Mawe is mawe....yeah,that is,mawe!
Wewe ni nani? Absolutely nothing
Keyboard warrior
Usitutishe, Tunampenda Rais wetu Mzalendo nyie vijakazi wa Mabeberu kwisha Habari yenu
What are doing for living? Maana kila nikiingia humu nakuta uko busy kujibu kila thread.Wengi ni wanafki na wasaliti wa nchi
Nafurahi Magufuli anavyowapuuza
Kozi ya ras simba naona mambo syo mabayaWewe ni nani? Absolutely nothing
Keyboard warrior
Usitutishe, Tunampenda Rais wetu Mzalendo nyie vijakazi wa Mabeberu kwisha Habari yenu
Mkuu Kamundu, nimekusikia, naunga mkono hoja yako, na baadhi yetu mimi nikiwemo, mwaka 2020, tutajiunga na siasa na kuonyesha mbinu mbadala.Nenda kapigane tuone mbinu zako badala ya kujifika kwenye maneno na madongo kila siku.
Mkuu Kamundu, nimekusikia, naunga mkono hoja yako, na baadhi yetu mimi nikiwemo, mwaka 2020, tutajiunga na siasa na kuonyesha mbinu mbadala.
P
Na sasa amepuuzwa na mzungu mkulima. Amemkosesha kwenda kufanya sherehe Terminal 3 kupokea mzigo wake toka Toronto!Kama yeye tunavyompuuza.
Mi Joni huwa naoa kama mbwa koko tu.Sasa mbwa koko akinipuuza nikipata jiwe nam'bonda.Wengi ni wanafki na wasaliti wa nchi
Nafurahi Magufuli anavyowapuuza