Huu hapa ni ukweli ulio mchungu, hasa kwa aubebaye mzigo huu:
Kwa hakika kwa mlamba asali, chawa au kibaraka wao, maisha si ndiyo haya sasa?
Inafahamika kusikia kwenu ni kule kwa kenge. Tuendelee kuwaambia nini cha zaidi basi?
"Waliojinadi kuwa Serikali Sikivu wamethibika kuwa Viziwi"
Heko Mheshimiwa Mbowe kwa ujasiri uliotukuka na hata kwa kulisemea hili hadharani.
Kimya chetu kisidhaniwe kuwa ni uwoga wetu.
"Tuwatambue wenye kutaka kutuaminisha kuwa tu waoga"
Habari ndiyo hiyo.