Pre GE2025 Walau Chadema, CCM na CUF ambao wamepokea Ruzuku kubwa kwa Zaidi ya miaka 25 Watuambie Zaidi ya kukodi Chopa wamezitumiaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi

Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja

Happy New Year
 
Nyooooo! Wewe ni Nani? Ujibiwe kama Nani?
 
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi

Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja

Happy New Year
Hana hoja akili yake ukiangalia kwa makini imetawaliwa kwenye kusifu na kuabudu pia kwa akili yake Tanzania bila ccm haiwezi songa kabisa.Mawazo mfu kutoka kabila moja na mwendazake ambayo yametawaliwa na sifa,ukiritimba pamoja na kujimwambafai.
 
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi

Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja

Happy New Year
Hahahahaha yohana unaugomvi nao

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi

Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja

Happy New Year
Mkuu una swali zuri. Kwanza ingekuwa vyema kama tungeonesha ruzuku ya CCM ambayo ndio kubwa ilikoenda/ ilichofanya mtaani au vijijini ili tupate nguvu halali ya kuhoji ruzuku ya upinzani ilikoenda!

Pamoja na hayo, ruzuku kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni kwa ajili ya uendeshaji wa shughuli za kila siku za chama husika. Sio maendeleo ya jamii/umma!
 
MACHADEMA yameishia kujamiiana mpaka yanagombama hovyo
 
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi

Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja

Happy New Year
Lengo la ruzuku ni kuongeza wanachama na kusambaza sera
 
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi

Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja

Happy New Year

Nachojua wamefanikiwa kukaa juu pale kama chama cha upinzani katika nyakati hizi ngumu
 
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi

Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja

Happy New Year
Naishukuru sana JF kwani pamoja na kuwa Home of great thinkers lakini pia imekuwa mtambo sahihi wa kuwavua wajinga nguo za ndani (ubongo) na kuonyesha utupu wao.
Mada hii ni udhibitisho.
Hivi ruzuku kwa vyama ilipangwa kisheria ili kuanzishia miradi au biashara kusudi kupata faida?
Makusudio ya fedha hizo yameainishwa kisheria na ukaguzi wa CAG unafanyika kukiwa na matumizi nje ya makusudio anahoji au anatoa hati safi kama yameenda ilivyotakiwa.
Maswali ya jumla jumla hatutaki, we sema unawakusudia nani? Au helicopter inakuumiza?
Huyo Pascal Mayalla aache unafiki, anahoji sheria ya ruzuku kwa vyama badala ya kuanzia na sheria iliyomilikisha mali/miradi ya wananchi eg. Viwanja vya michezo, majengo nk kwa CCM na kuipa utajiri mkubwa badala ya kurejeshwa kwa Wananchi kupitia halmashauri zao?
Majibu ya Thread hii ni kusoma ripoti za CAG na sio kubwabwaja hapa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kwa kifupi sana ni kuwa CCM imetumia Zaidi Chopa na baadhi ya wagombea walikufa Chopani

Mjinga ni yule aliyewauza Wabunge na ruzuku Zao kwa CCM

CAG anakagua usahihi wa kiuhasibu kwenye Matumizi lakini hakagui Maadili

Happy New Year 😄
 
Back
Top Bottom