Hector Cooper
JF-Expert Member
- Apr 16, 2023
- 696
- 1,036
Hayo yote umeyataja hapo ni majizi yanayofanana kasoro rangi tu! kuna ya kijani, ya bluu na mekundu lakini yote ni yaleyale ongeza na yale ya zambarau ya kule Pemba na Ujiji.Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja
Happy New Year