Pre GE2025 Walau Chadema, CCM na CUF ambao wamepokea Ruzuku kubwa kwa Zaidi ya miaka 25 Watuambie Zaidi ya kukodi Chopa wamezitumiaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi

Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja

Happy New Year
Hayo yote umeyataja hapo ni majizi yanayofanana kasoro rangi tu! kuna ya kijani, ya bluu na mekundu lakini yote ni yaleyale ongeza na yale ya zambarau ya kule Pemba na Ujiji.
 
Maendeleo yote unayoyaona ni CCM we bwege
We fara CCM imefanya nini zaidi wizi wa kura na mikopo kutoka kwa mabeberu?Migodi yenu ccm imewauzia Wazungu.Wanyama wenu CCM imewauzia Waarabu.Bandari yenu CCM imewauzia Waarabu.Tanganyika yenu CCM imewauzia Zanzibar.Uhuru wenu CCM imewauzia Viongozi na familia zao pamoja na vyombo vya ulinzi na usalama.Maisha yenu chini ya ccm siku moja mtakuja kuwa watumwa wa taifa fulani mpende msipende.
 
Ni pesa za umma kwaiyo zinamhusu Kila mtanzania mpinga ufisadi na matumizi mabaya ya Kodi zetu
Umeshindwa kikondoo kufuattilia hela miradi mbalimbali kama vile Daraja la Busisi,SGR,Afya,Elimu,Umeme unakuja kupambana na CHADEMA?Hivi una akili kweli!
 
Kote tunafuatilia mafisadi na wajasiriasiasa lazima mumulikwe . Walau daraja la busisi na bwawa la umeme vinaoneka nyie hayo mabillion mmeyapeleka wapi?
 
Chadema hawana hata mradi mmoja
Chadema hawajashika dola wanatakiwa kusema hayo ni CCM ambayo ndo inayoongoza nchi
Fedha ya riziki ni kiasi kidogo ambacho kazi yake ni kuendesha shughuli za chama na si kwa ajili ya miundombinu ya kijamii.
 
Kote tunafuatilia mafisadi na wajasiriasiasa lazima mumulikwe . Walau daraja la busisi na bwawa la umeme vinaoneka nyie hayo mabillion mmeyapeleka wapi?
Tangu Mwendazake afariki hakuna ccm ilichofanikiwa zaidi ya kukodisha bandari ya Tanzania kwa Waarabu wa Dubai?
 
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi

Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja

Happy New Year
Acha Ubaguzi wa kuiondoa CCM- nayo pia ije na mrejesho point by point- ruzuku yake inatumikaje?
 
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi

Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja

Happy New Year
Ruzuku ifutwe ,ni wizi mtupu
 
Back
Top Bottom