johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nyooooo! Wewe ni Nani? Ujibiwe kama Nani?Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja
Happy New Year
Hana hoja akili yake ukiangalia kwa makini imetawaliwa kwenye kusifu na kuabudu pia kwa akili yake Tanzania bila ccm haiwezi songa kabisa.Mawazo mfu kutoka kabila moja na mwendazake ambayo yametawaliwa na sifa,ukiritimba pamoja na kujimwambafai.Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja
Happy New Year
Wana wanachama na Viongozi.Chadema hawana hata mradi mmoja
Hahahahaha yohana unaugomvi naoWatoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja
Happy New Year
Viongozi wala ruzuku tuWana wanachama na Viongozi.
Sawa ni halali yao hata maandiko yasema punda au ng'ombe asifungwe kinywa pindi apurapo nafaka.Viongozi wala ruzuku tu
Hiyo haikuhusu hata siku moja,CCM imefanya nini zaidi ya kudhulumu Viwanja vy Mpira Tanzania nzima?Kwaiyo mmetumia mabillion ya fedha za walipa kodi kujilipa tu
Kwaiyo Kila anaeikosoa chadema ni CCM? Kwaiyo kujibu hoja umeshindwa umeamua kujificha kwenye kichaka Cha CCM?Hiyo haikuhusu hata siku moja,CCM imefanya nini zaidi ya kudhulumu Viwanja vy Mpira Tanzania nzima?
Mpinzani mkuu wa CHADEMA ni ccm na vibaraka wake.Kwaiyo Kila anaeikosoa chadema ni CCM? Kwaiyo kujibu hoja umeshindwa umeamua kujificha kwenye kichaka Cha CCM?
Jibu hoja ya kutumia mabillion ya umma kujilipa tuMpinzani mkuu wa CHADEMA ni ccm na vibaraka wake.
Mkuu una swali zuri. Kwanza ingekuwa vyema kama tungeonesha ruzuku ya CCM ambayo ndio kubwa ilikoenda/ ilichofanya mtaani au vijijini ili tupate nguvu halali ya kuhoji ruzuku ya upinzani ilikoenda!Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja
Happy New Year
Lengo la ruzuku ni kuongeza wanachama na kusambaza seraWatoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja
Happy New Year
Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja
Happy New Year
Naishukuru sana JF kwani pamoja na kuwa Home of great thinkers lakini pia imekuwa mtambo sahihi wa kuwavua wajinga nguo za ndani (ubongo) na kuonyesha utupu wao.Watoke tu hadharani Watuambie Ruzuku ambayo ingeweza kujenga Hospitals, kujenga madarasa, kununua dawa nk wao wamezitumiaje katika kumsaidia Huyu mlipa kodi
Waheshimiwa Mnyika, Makonda na Magdalena Sakaya tupeni Taarifa ili tupime kama Pascal Mayala wa JF ana Hoja
Happy New Year
Kwa kifupi sana ni kuwa CCM imetumia Zaidi Chopa na baadhi ya wagombea walikufa ChopaniNaishukuru sana JF kwani pamoja na kuwa Home of great thinkers lakini pia imekuwa mtambo sahihi wa kuwavua wajinga nguo za ndani (ubongo) na kuonyesha utupu wao.
Mada hii ni udhibitisho.
Hivi ruzuku kwa vyama ilipangwa kisheria ili kuanzishia miradi au biashara kusudi kupata faida?
Makusudio ya fedha hizo yameainishwa kisheria na ukaguzi wa CAG unafanyika kukiwa na matumizi nje ya makusudio anahoji au anatoa hati safi kama yameenda ilivyotakiwa.
Maswali ya jumla jumla hatutaki, we sema unawakusudia nani? Au helicopter inakuumiza?
Huyo Pascal Mayalla aache unafiki, anahoji sheria ya ruzuku kwa vyama badala ya kuanzia na sheria iliyomilikisha mali/miradi ya wananchi eg. Viwanja vya michezo, majengo nk kwa CCM na kuipa utajiri mkubwa badala ya kurejeshwa kwa Wananchi kupitia halmashauri zao?
Majibu ya Thread hii ni kusoma ripoti za CAG na sio kubwabwaja hapa.
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app