Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Watu toka mwaka juzi, mzee baba unahesabu siku 11 nina siku nyingi sana
 


Haha huu mwaka nina hasira sana nisije kata vidude vya watu bure,au kuchanachana na viwembe tu

Bora nisiivunje hiyo amri kwakweli maana nitakuwa bodyguard wa mtu, nisisikie hata mbu anasogea,nategesha masikio kama antena,macho tena kama fundi Saa

Kuepuka hizo shari bora kuwa single aisee,maana ntaua mtu

Mume anauma eti.
 
Bibie taratibu basi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 



Nikitenda hilo tendo wakati cna hela au nnatatizo lolote linanisubua kwa wakati huo hua sickiag raha
 
Polee sana wew mwaka jana inaonyesha umepitia makubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…