Hallelujah [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Abeeeeeee
Dhambi hufanya tukose baraka za Allah, na wakati mwingine maombi yetu yanachelewa kujibiwa sababu ya dhambi!
Hahhahaha unanifurahisha sana bado haujatafutwa tu etiUnacheka nini eti
insta babe kwanza miss u... aisee huyu mtekaji ananifanyia vibaya sana ananinyima hata muda wa kuingia humuAliyekuteka insta babe atuteke wote
Halafu acha uongo umeandika nn
Mimi nimekumiss mpaka naumwa insta babe huyo mtekaji akikubana uwe unamtoroka bwana mbona unakuwa kama sio mwanaume jamaniinsta babe kwanza miss u... aisee huyu mtekaji ananifanyia vibaya sana ananinyima hata muda wa kuingia humu
ila kuhusu hyo comment nahisi aliandika mtakaji [emoji23][emoji23] me sikumbuki kuandika kitu kama hicho [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
insta babe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asa cutey si tulipiga naye story tu [emoji23][emoji23]Mimi nimekumiss mpaka naumwa insta babe huyo mtekaji akikubana uwe unamtoroka bwana mbona unakuwa kama sio mwanaume jamani
Ujue nilitaka kushangaa we huwezi andika hivyo kabisa eti mzee wa cutey unaanzaje kuandika hivyo nilishangaa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahhahahaa kupiga nae story toka dar to arusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kukaa siku 3 insta babe shikamoo jamaniiiinsta babe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asa cutey si tulipiga naye story tu [emoji23][emoji23]
sawa insta babe ndio kama hivi nimeshatoroka sirudi tena kwa mtekaji
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka sanaAa wapi hakuna kuji murder wala nn ninavyopenda kuishi hivi aaaa a wapi mkuu labda wengine sio Mimi
Yani nijiue alafu vyakula vizuri vizuri niviache,niache maembe,na madiko diko a wapi
Naenjoy huwezi amini najilia mafenesi naongeza shavu.
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah....eeeh insta babe siunajua mimi mtu wa story mingi yani siishiwi story tukajita tupo arusha tu kwa story [emoji23][emoji23]Hahhahahaa kupiga nae story toka dar to arusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kukaa siku 3 insta babe shikamoo jamaniii
Mtekaji huwezi kumkimbia kabisa ujue lazima utarudi tu kule ni mtakuja
Kabsa naunga mkonoNgoja niwahi siti
Hakuna shida mzee baba,tumeuanza mwaka vizuri na tunauendeleza vizuri
2019 ni mwendo wa kuwa single tu
Tumechokaaaaa.
Hahhahahahhahahah....eeeh insta babe siunajua mimi mtu wa story mingi yani siishiwi story tukajita tupo arusha tu kwa story [emoji23][emoji23]
hahahah amini hivyo mtekaji nimemkimbia labda aje kuniteka kwa mbinu za kisoviet [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
kuwa single si suala la maamuzi bali ni kuwa kuna "reason behind that"Ngoja niwahi siti
Hakuna shida mzee baba,tumeuanza mwaka vizuri na tunauendeleza vizuri
2019 ni mwendo wa kuwa single tu
Tumechokaaaaa.
hahahah insta babe unanichekesha ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhahahah
Ujue hapa nakumbuka yale maandishi yako yanajirudia tu hapa hahahhhah
Hahhahaha jichekee tu yanafurahisha sana insta babehahahah insta babe unanichekesha ujue [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnacomment bafuniAmbao hatujawahi kuvunja amri hiyo na hatutarajii kuivunja tunakomenti wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah insta bhana bhana nahisi ni ujana alafu mtekaji naye sometimes analeta stress tu..Hahhahaha jichekee tu yanafurahisha sana insta babe
Wakati nasoma narudia nasema hivi ni yeye kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe na wa kununua anao ulikosa nini kusafiri na mtekaji