Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Aliyekuteka insta babe atuteke wote
Halafu acha uongo umeandika nn
insta babe kwanza miss u... aisee huyu mtekaji ananifanyia vibaya sana ananinyima hata muda wa kuingia humu

ila kuhusu hyo comment nahisi aliandika mtakaji [emoji23][emoji23] me sikumbuki kuandika kitu kama hicho [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimekumiss mpaka naumwa insta babe huyo mtekaji akikubana uwe unamtoroka bwana mbona unakuwa kama sio mwanaume jamani

Ujue nilitaka kushangaa we huwezi andika hivyo kabisa eti mzee wa cutey unaanzaje kuandika hivyo nilishangaa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
insta babe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asa cutey si tulipiga naye story tu [emoji23][emoji23]

sawa insta babe ndio kama hivi nimeshatoroka sirudi tena kwa mtekaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
insta babe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] asa cutey si tulipiga naye story tu [emoji23][emoji23]

sawa insta babe ndio kama hivi nimeshatoroka sirudi tena kwa mtekaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahahaa kupiga nae story toka dar to arusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kukaa siku 3 insta babe shikamoo jamaniii

Mtekaji huwezi kumkimbia kabisa ujue lazima utarudi tu kule ni mtakuja
 
Aa wapi hakuna kuji murder wala nn ninavyopenda kuishi hivi aaaa a wapi mkuu labda wengine sio Mimi

Yani nijiue alafu vyakula vizuri vizuri niviache,niache maembe,na madiko diko a wapi

Naenjoy huwezi amini najilia mafenesi naongeza shavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimecheka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhahahaa kupiga nae story toka dar to arusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na kukaa siku 3 insta babe shikamoo jamaniii

Mtekaji huwezi kumkimbia kabisa ujue lazima utarudi tu kule ni mtakuja
hahahah....eeeh insta babe siunajua mimi mtu wa story mingi yani siishiwi story tukajita tupo arusha tu kwa story [emoji23][emoji23]

hahahah amini hivyo mtekaji nimemkimbia labda aje kuniteka kwa mbinu za kisoviet [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahah....eeeh insta babe siunajua mimi mtu wa story mingi yani siishiwi story tukajita tupo arusha tu kwa story [emoji23][emoji23]

hahahah amini hivyo mtekaji nimemkimbia labda aje kuniteka kwa mbinu za kisoviet [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahhahahah
Ujue hapa nakumbuka yale maandishi yako yanajirudia tu hapa hahahhhah
 
Ngoja niwahi siti

Hakuna shida mzee baba,tumeuanza mwaka vizuri na tunauendeleza vizuri
2019 ni mwendo wa kuwa single tu

Tumechokaaaaa.
kuwa single si suala la maamuzi bali ni kuwa kuna "reason behind that"
 
Miaka 30 nipo gado hata kabla nilikuwa na mmoja ila tukaachana. Mimi ni one to one. Wanangu wameiga vile vile wana mmoja na wanamleta home. Maisha ni kuaminiana.
 
Hahhahaha jichekee tu yanafurahisha sana insta babe

Wakati nasoma narudia nasema hivi ni yeye kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe na wa kununua anao ulikosa nini kusafiri na mtekaji
hahahah insta bhana bhana nahisi ni ujana alafu mtekaji naye sometimes analeta stress tu..

ila siku hizi nimezeeka insta babe mwezi wa nne ntaifuta namba ya cutey kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom