Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Mimi hii miaka 2 sasa naweza kumtongiza demu tukakubaliana kila kitu lakini nikimkumbuka mke wangu nakuwa mpole nawaza kwanini nimfanyie ubaya huu? Natafuta nini zaidi? Je akijua atanionaje? Je ataniamini tena? Je na yeye akifanya hivyo nitajisikiaje nikijua? Nikifika hapo basi najikuta nahairisha gemu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom