Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahhahahahahahah insta bhana bhana nahisi ni ujana alafu mtekaji naye sometimes analeta stress tu..
ila siku hizi nimezeeka insta babe mwezi wa nne ntaifuta namba ya cutey kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo no ya cutey sijui kama itafutwa inaonekana anakuchanganya sana
Mtekaji hata kama anakupa stress insta baby ndio wako sasa huna wa kumtupia