Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Tena cheusi mangala insta babe na uko mbinguni nisiende tu kama kuongea ukweli ni kutokwenda mbinguni
nimegoma insta babe.... mimi shunie wangu ninayemjua na ninayechat naye hapa ni mweupe tena ule weupe wa tanga ule [emoji23][emoji23][emoji23] huyo cheusi mangala mimi simjui [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom