Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Wale ambao bado hatujavunja amri ya 6 mwaka huu tukutane hapa

Leo ni siku ya 11 toka mwaka huu uanze nina imani wapo ambao hawajazini kabisa mwaka huu, nini kinakukwamisha? Unakwama wapi mzee baba na kwa wadada ambao bado hamjatafunwa mwaka huu shida nini wazee mama mmepoteza mvutoo au gundu??


Wkend njema

Sent using Jamii Forums mobile app
Akili za kukosa kvant hz [emoji126][emoji126][emoji126]

Be Humble is free of charge [emoji873]
 
Back
Top Bottom