ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Acha kututisha hakuna aliyeturoga tatizo Ni Hawa Wadada wa siku hizi wanaogopa kuzaa wanatumezea mavidonge ya uzaziuzi wa watu waliorogwa vizazi..[emoji1787]
Wabishi sana wameiacha asili yao wametumbukia kwenye mambo ya aibu Sana unakuta binti unampenda ila anatumia vidonge vya kuzuia mimba Sasa hapo utampaje mimba na unakuta uwezo wa kulea mtoto unao
Nami nimo mkuu Sina bata wa ndotoni..🤣Acha kututisha hakuna aliyeturoga tatizo Ni Hawa Wadada wa siku hizi wanaogopa kuzaa wanatumezea mavidonge ya uzazi
P2Acha kututisha hakuna aliyeturoga tatizo Ni Hawa Wadada wa siku hizi wanaogopa kuzaa wanatumezea mavidonge ya uzazi
Tupo Wengi mkuuHakika nimefarijika kukuta kumbe tupo Wengi ambao hatujawahi kupata hata wa kusingiziwa
[emoji23][emoji23][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
Umri unazidi kusogea tafuta mmoja mzuri ambaye anafaa kuwa mke wako na mama wa watoto wako fanya kweli Kisha mambo mengine yatafuataMie sijaamua tuu, wadada wa 5 wame nifuata kwa muda wao, kila mtu anataka walau mmoja tuu.
Nime sitaki mtoto nje ya ndoa, so nikioa nitapata mtoto.
Hao wote imani ni tofauti na mimi.Umri unazidi kusogea tafuta mmoja mzuri ambaye anafaa kuwa mke wako na mama wa watoto wako fanya kweli Kisha mambo mengine yatafuata
Funga nae ndoa kwa mkuu wa wilaya ya kiserikali hata Kama wazazi wasipokubali.maisha yenyewe mafupi hayaHao wote imani ni tofauti na mimi.