Wale ambao hatuna hata mtoto wa kusingiziwa tukutane hapa

Wale ambao hatuna hata mtoto wa kusingiziwa tukutane hapa

Kipindi kabla sijapata hata first born,nilikuwa nikipita madukani naona nguo,viatu na vitu vingi vya watoto nikawa naumia sana, tena sana

Nashukuru MUNGU mambo yalibadilika,ikafika kipindi majukumu yakaongezeka,school fees na mengine mengi.

Cha ajabu wote wamesambaratika tumebaki wawili tu.
Lakini watoto Raha sana jamani
 
Mie sijaamua tuu, wadada wa 5 wame nifuata kwa muda wao, kila mtu anataka walau mmoja tuu.
Nime sitaki mtoto nje ya ndoa, so nikioa nitapata mtoto.
 
Mie sijaamua tuu, wadada wa 5 wame nifuata kwa muda wao, kila mtu anataka walau mmoja tuu.
Nime sitaki mtoto nje ya ndoa, so nikioa nitapata mtoto.
Umri unazidi kusogea tafuta mmoja mzuri ambaye anafaa kuwa mke wako na mama wa watoto wako fanya kweli Kisha mambo mengine yatafuata
 
Back
Top Bottom