Mjomba side
Member
- May 3, 2024
- 72
- 96
Mshikaji wangu mmoja baada ya kumaliza Chuo mwaka 2014 na kukosa Kazi, aliingia kwenye biashara za M Pesa, Tigo Pesa na bank. Mpaka mwaka 2020 alikuwa amejenga nyumba kubwa na kuanzisha familia.
Kijiwe chake kilikua sana na kitu nilichokiona pale ilikuwa ni nidhamu. Jamaa alikuwa anafungua Mapema sana na Kufunga saa sita usiku. Kitu pekee niliona Kama red flag ni Imani za kishirikina na niliwahi kumwambia kabisa haya mafanikio yako ni juhudi sio uganga lakini hakuwahi kuamini.
Mwaka 2023 alitoa Pesa zake zote bank Kama million 50 hapo na kuzipeleka kwa Mganga kwa ahadi za kuzifanya ziwe million 100. Ghafla akawa hapatikani. Baada ya wiki moja mwili wake ulikutwa mtoni ukiwa umechinjwa na kutobelewa macho.
Postmortem ilionyesha kwamba mwili ulikuwa kama na masaa machache baada ya kifo. Inaonekana walikaa naye kama wiki moja Kabla ya kumchinja.
Mke wake alipoenda bank alikuta deni la bank huku account in 200k tu. Yule Mganga alikuwa suspect na kukamatwa baada ya kufanya marekebisho ya nyumba, kununua Gari na vitu Vya thamani kwa muda mfupi tu lakini pia yeye kuwa wa Mwisho kuwasiliana na marehemu na baadhi ya Simu za Kazi za marehemu kukutwa kwake.
Lesson: Waganga wangekuwa na dawa ya pesa wangetengeneza pesa zao kwanza.