Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mbona kila mara huwa nabishana nao hadharani na hakuna lolote lililonitokea.Yaani kwa sie tusio amini mambo ya kichawi tujifunze kua wakimya msije bishana sehem yenye watu wengi hasa wazee, ukajidai we ni konki huamini uchawi
Hawa watu ni washenz xnaa
Ni washenz xnaa hawa pumbav zao siku nikikuta mchawi kakamatwa ntampiga kama mwizi
Mimi mbona kila mara huwa nabishana nao hadharani na hakuna lolote lililonitokea.
Kisa cha kuogopa kubishana nao hadharani ni kip
Kibokoooo ya wajingaaWaganga wengi ni maagent wa uharifu.
Wanaowategemea waganga ni wajinga sana. Sasa hivi hadi wachungaji wanawategemea waganga kama sio wenyewe kujigeuza waganga.
Mtachinjwa sana kama mkiendea kuacha kutegemea Juhudi, Mungu na Maarifa.
Sio yule wa mara alitokea arusha akapokelewa na waganga wakampeleka ziwani wakamalizana nae wakapita na helaKun mdada mmoja nae mganga alimuua baada ya kuja na milioni 10 ili zifanyiwe uganga
Wote wanatumia vibaya hisia za wateja wao...Imani za uganga hazina tofauti sana na imani za dini
😂Watanzania Tunaongoza kuamini ushirikina mnoo tena sana.
Hata kila kazi ukigusa utaambiwa bila ushirikina hutoboi.
Mara wachezaji wanalogana, mara vilabu vya mpira vinaloga, Mara walimu wanalogwa, mara biashara zinahitaji kafara au zindiko, Mara siasa bila kuloga hufanikiwi.
yaani ukimkosa mtanzania kwenye kuamini uganga basi utamkuta kabobea kwenye kuamini manabiii ambao nao ni Wale wale waganga wanaotumia dini.
Hebu chunguza watu wangapi wanao amini Chuma ulete. Watu wanatumia hela kijinga wanasingizia chuma ulete
Ukweli mchungu mungu alishatuonya kuhusu kutegemea binaadamu wenzetu ila shetani anatutisha na kututia hofu ili twende kwa waganga, nasisitiza waganga wote ni matapeli, quran inatueleza vizuri kwamba heri na shari zote ni za mwenyezi mungu usiogope mitihani mtegemee mungu tuMshikaji wangu mmoja baada ya kumaliza Chuo mwaka 2014 na kukosa Kazi, aliingia kwenye biashara za M Pesa, Tigo Pesa na bank. Mpaka mwaka 2020 alikuwa amejenga nyumba kubwa na kuanzisha familia.
Kijiwe chake kilikua sana na kitu nilichokiona pale ilikuwa ni nidhamu. Jamaa alikuwa anafungua Mapema sana na Kufunga saa sita usiku. Kitu pekee niliona Kama red flag ni Imani za kishirikina na niliwahi kumwambia kabisa haya mafanikio yako ni juhudi sio uganga lakini hakuwahi kuamini.
Mwaka 2023 alitoa Pesa zake zote bank Kama million 50 hapo na kuzipeleka kwa Mganga kwa ahadi za kuzifanya ziwe million 100. Ghafla akawa hapatikani. Baada ya wiki moja mwili wake ulikutwa mtoni ukiwa umechinjwa na kutobelewa macho.
Postmortem ilionyesha kwamba mwili ulikuwa kama na masaa machache baada ya kifo. Inaonekana walikaa naye kama wiki moja Kabla ya kumchinja.
Mke wake alipoenda bank alikuta deni la bank huku account in 200k tu. Yule Mganga alikuwa suspect na kukamatwa baada ya kufanya marekebisho ya nyumba, kununua Gari na vitu Vya thamani kwa muda mfupi tu lakini pia yeye kuwa wa Mwisho kuwasiliana na marehemu na baadhi ya Simu za Kazi za marehemu kukutwa kwake.
Lesson: Waganga wangekuwa na dawa ya pesa wangetengeneza pesa zao kwanza.
Ndiyo maana Waislam wa Zanzibar wanaamini sana waganga kuliko Mwenyezi Mungu, Ukienda Zanzibar utakuta Waislam wanaenda Msiktini kila wakati kufanya ibada, cha ajabu sasa Wakipata tatizo la kiafya, kiuchumi na kijamii wao wanakimbilia kwa waganga na siyo kwa Mwenyezi Mungu.Imani za uganga hazina tofauti sana na imani za dini
Mkuu Wazanzibar wanapenda kwenda kwa waganga na Kwenda kusali msikitini pia wanapenda kwenda?Ukweli mchungu mungu alishatuonya kuhusu kutegemea binaadamu wenzetu ila shetani anatutisha na kututia hofu ili twende kwa waganga, nasisitiza waganga wote ni matapeli, quran inatueleza vizuri kwamba heri na shari zote ni za mwenyezi mungu usiogope mitihani mtegemee mungu tu
Hata rafiki yake wa karibu kabisa angeweza kumuua. Kwenye hela kuna rafu nyingi sana zinachezwa na watu tofauti tofauti tena wengine huwezi kuwadhania kabisa kwa nyadhifa zao kwenye jamiiMshikaji wangu mmoja baada ya kumaliza Chuo mwaka 2014 na kukosa Kazi, aliingia kwenye biashara za M Pesa, Tigo Pesa na bank. Mpaka mwaka 2020 alikuwa amejenga nyumba kubwa na kuanzisha familia.
Kijiwe chake kilikua sana na kitu nilichokiona pale ilikuwa ni nidhamu. Jamaa alikuwa anafungua Mapema sana na Kufunga saa sita usiku. Kitu pekee niliona Kama red flag ni Imani za kishirikina na niliwahi kumwambia kabisa haya mafanikio yako ni juhudi sio uganga lakini hakuwahi kuamini.
Mwaka 2023 alitoa Pesa zake zote bank Kama million 50 hapo na kuzipeleka kwa Mganga kwa ahadi za kuzifanya ziwe million 100. Ghafla akawa hapatikani. Baada ya wiki moja mwili wake ulikutwa mtoni ukiwa umechinjwa na kutobelewa macho.
Postmortem ilionyesha kwamba mwili ulikuwa kama na masaa machache baada ya kifo. Inaonekana walikaa naye kama wiki moja Kabla ya kumchinja.
Mke wake alipoenda bank alikuta deni la bank huku account in 200k tu. Yule Mganga alikuwa suspect na kukamatwa baada ya kufanya marekebisho ya nyumba, kununua Gari na vitu Vya thamani kwa muda mfupi tu lakini pia yeye kuwa wa Mwisho kuwasiliana na marehemu na baadhi ya Simu za Kazi za marehemu kukutwa kwake.
Lesson: Waganga wangekuwa na dawa ya pesa wangetengeneza pesa zao kwanza.
Kwa nini?Waganga dawa yao kuuliwa tu .
Hapana, hawapigiwi marufuku kwa sababu wana haki kikatiba kuwa waganga.Serikali haiwapigi marufuku kwasababu nao hutibiwa au husaidiwa nao
Mwamposa, nabii kibo ya wachawi, geor davie n.k wana tofauti gani na waganga?Sio kweli, hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
Sasa mkuu kabisa unadhani hao ni viongozi wa dini? Hao ni matapeli tuMwamposa, nabii kibo ya wachawi, geor davie n.k wana tofauti gani na waganga?
Mkuu Unajua kazi ya tasbihi ni nini?Kutumia tasbihi, maji ya zamzam, albadiri n.k kuna tofauti gani na uganga?
Kufanyia ibadaMkuu Unajua kazi ya tasbihi ni nini?