Wale ambao huwa mnakwenda kwa waganga wa kienyeji kimya kimya hii kitu inawahusu

Kun mdada mmoja nae mganga alimuua baada ya kuja na milioni 10 ili zifanyiwe uganga
 
Mimi mbona kila mara huwa nabishana nao hadharani na hakuna lolote lililonitokea.

Kisa cha kuogopa kubishana nao hadharani ni kipi?
 
Waganga wengi ni maagent wa uharifu.
Wanaowategemea waganga ni wajinga sana. Sasa hivi hadi wachungaji wanawategemea waganga kama sio wenyewe kujigeuza waganga.

Mtachinjwa sana kama mkiendea kuacha kutegemea Juhudi, Mungu na Maarifa.
Kibokoooo ya wajingaa
Hahahaaa yaan pamoja na usanii na kelele zotee wajinga wenye masters walijazana kule
 
Kun mdada mmoja nae mganga alimuua baada ya kuja na milioni 10 ili zifanyiwe uganga
Sio yule wa mara alitokea arusha akapokelewa na waganga wakampeleka ziwani wakamalizana nae wakapita na hela
kama n hioo aisee niliona nkaumia mpaka wakiwa wanamtoa ziwani
 
MWOMBE MUNGU AKUPE UNACHOSTAHILI SIO UNACHOTAKA HATA KIDOGO UTAKIFURAHIA NDIO CHAKOOO

HAYA YA KUTAKA KUWA KAMA NANIIINOOO MTAKUFAAA
 
Imani za uganga hazina tofauti sana na imani za dini
Wote wanatumia vibaya hisia za wateja wao...
Watu wa dini ni ngumu kukamatwa maana wao hawaui na jamii inawaamini, na wana watetezi wengi.

Waganga jamii inawaona wachawi, na watu wanaenda kwa kificho.
 
😂
 
Ukweli mchungu mungu alishatuonya kuhusu kutegemea binaadamu wenzetu ila shetani anatutisha na kututia hofu ili twende kwa waganga, nasisitiza waganga wote ni matapeli, quran inatueleza vizuri kwamba heri na shari zote ni za mwenyezi mungu usiogope mitihani mtegemee mungu tu
 
Imani za uganga hazina tofauti sana na imani za dini
Ndiyo maana Waislam wa Zanzibar wanaamini sana waganga kuliko Mwenyezi Mungu, Ukienda Zanzibar utakuta Waislam wanaenda Msiktini kila wakati kufanya ibada, cha ajabu sasa Wakipata tatizo la kiafya, kiuchumi na kijamii wao wanakimbilia kwa waganga na siyo kwa Mwenyezi Mungu.
 
Mkuu Wazanzibar wanapenda kwenda kwa waganga na Kwenda kusali msikitini pia wanapenda kwenda?
 
Hata rafiki yake wa karibu kabisa angeweza kumuua. Kwenye hela kuna rafu nyingi sana zinachezwa na watu tofauti tofauti tena wengine huwezi kuwadhania kabisa kwa nyadhifa zao kwenye jamii
 
Serikali haiwapigi marufuku kwasababu nao hutibiwa au husaidiwa nao
Hapana, hawapigiwi marufuku kwa sababu wana haki kikatiba kuwa waganga.
 
Sio kweli, hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa.
Mwamposa, nabii kibo ya wachawi, geor davie n.k wana tofauti gani na waganga?
Kutumia maji ya baraka, rozari na chanting kanisani kuna tofauti gani na waganga?
Kutumia tasbihi, maji ya zamzam, albadiri n.k kuna tofauti gani na uganga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…