Wale ambao huwa mnakwenda kwa waganga wa kienyeji kimya kimya hii kitu inawahusu

Sasa mkuu kabisa unadhani hao ni viongozi wa dini? Hao ni matapeli tu
Ni matepeli kwako, kwa wengine ni viongozi wa dini.
Hata Papa ni tapeli kwa wengine ila kwa wengine ni kiongozi wa dini.
 
Ni matepeli kwako, kwa wengine ni viongozi wa dini.
Hata Papa ni tapeli kwa wengine ila kwa wengine ni kiongozi wa dini.
Wanao waamini kama viongozi wa dini hao tayari wametapeliwa kiimani, na hiyo haihalalishi uhalali wa wao kuwa viongozi wa dini.
 
wanaotegemea uganga na uchawi kwenye maisha ni wagonjwa wa akili.
 
Wanao waamini kama viongozi wa dini hao tayari wametapeliwa kiimani, na hiyo haihalalishi uhalali wa wao kuwa viongozi wa dini.
Wewe kiongozi wako wa dini ni nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…