GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Jifunzeni kuheshimu Watu waliobarikiwa Tunu ( Shani ) nyingi na Mwenyezi Mungu halafu na hata Soka la Tanzania ( Bongo ) wana PhD ( Doctorate ) nalo sawa?
Kama tu ndani ya Mechi Nane walituacha kwa Alama Tano tulishindwa Kuwakuta je, leo tumebakiza Mechi Sita ndiyo tunajidanganya kuwa tutazifikia hizo Alama Nane walizotuacha sasa?
Yanga SC hii ambayo hata ikianzisha Kikosi cha Pili ( Wasiopata Nafasi b) au kichanganya na Wachezaji baadhi wa Team B bado Wanashinda tena Convisingly ndiyo Mambumbumbu Wenzangu tulioko Vijiweni na humu Mitandaoni ndiyo tunajidanganya na kupeana Moyo kuwa Simba SC itakuwa Bingwa na kwamba Yanga SC itaangusha Alama?
Yanga SC ni Bingwa wa NBC Premier League ya Tanzania kwa huu Msimu tena wa 2022/2023 na GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kuwapongeza wana Yanga SC wote ndani na nje ya Tanzania kwani kwa Utulivu wenu, Mikakati yenu, Umoja wenu na Wachezaji Washindani na Mahiri mlionao mlistahili na mmestahili na hata kwa Msimu mpya ( ujao ) bado nawaona ni Title Contender na mna 75% ya Kuwa Bingwa / Mabingwa tena.
Unaacha Kumsajili Ceaser Lobi Manzoki aje Kukuchezea kama Mshambuliaji unamleta katika Mkutano Mkuu wa Simba SC aje kupiga ( kukupigia ) Kura huku ukimpa Kadi ya Uanachama ndani ya Siku Mbili wakati akina GENTAMYCINE huu mwaka wa Tatu sasa tunahangaika kupata Kadi ya Uanachama tunazungushwa tu na Matapeli akina Makoye ( Mkuu wa Itifaki wa Kujiteua Mwenyewe Simba SC ) na Abbas Kijogoo ( Kigulu ) wa Kawe.
Hovyo kabisa......!!!!!!