Wale ambao ndugu zenu wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Bangi, Madawa n.k, naomba tuwasiliane kwa ajili ya matibabu

Wale ambao ndugu zenu wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Bangi, Madawa n.k, naomba tuwasiliane kwa ajili ya matibabu

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
Wale ambao mna watoto au ndugu zenu Ila tayari wameathirika na uraibu mbalimbali kama Pombe, Sigara na Bangi naomba tuwasiliane ili niwapatie matibabu.

Tupo na kituo cha rehabilitation (Rehab) Kwa ajili ya HUDUMA zifuatazo:

1. Waathirika wa pombe , bangi na madawa

2. Huduma za kisaikolojia

3. Ushauri mbali mbali kuhusu namna ya kumsaidia mtoto au ndugu yako ambaye ameathirika na uraibu.

Huduma zetu ni 24/7

Tuwasiliane

Usikubali kumuacha ndugu yako au mtoto wako ateketee Kwa uraibu wowote ule.


Tupo Kigamboni ferry kituo chetu kinaitwa "Give back center"

Utaratibu wa kujiunga unatupigia simu then sisi tutakuja hadi sehemu alpo huyo muathirika na kuonana nae kisha tutaondoka nae kituoni kwetu

gharama za kuja kumuona zitakuwa juu yetu.
 
Back
Top Bottom