Hisha Sorel
Senior Member
- Dec 27, 2017
- 192
- 140
Sidhani kama hujaambiwa. The problem lies within your mind's incapacity to comprehend and analyze deep things that are obviously supernatural & almost beyond our grasp.Siku nikiambiwa Mungu alitokana na nini., nakua PASTOR
Ukifa utazikwa nani?Jana nimeona thread ambayo ilimtambulisha OP kama atheist aliyetaka ushauri.
Hii ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona atheist Tanzania na cha kushangaza zaidi, ma-atheist walikuwa na uelewa mpana sana wa Philosophy and sciences kitu ambacho kilinishangaza.
So we kama ni atheist, unaweza kushare mtazamo wako wa ki-science na philsophia ambao unelezea kwanini we ni atheist.
We unahisi ntazikwa na nani😂Ukifa utazikwa Nani?
Wait, so if they are beyond our capacity to comprehend, how do select which to follow?Sidhani kama hujaambiwa. The problem lies within your mind's incapacity to comprehend and analyze deep things that are obviously supernatural & almost beyond our grasp.
Why do you seem so rushy as though you have been caught up late for an express airline!???wait, so if they are beyond our capacity to comprehend, how do select which to follow?
so I can believe in a flying laser wielding bra wearing chicken as a God?
or maybe I can believe in spaghetti around the sun creating day and night?
what makes your claim better than others claim
what is asserted without evidence, can be dismissed without evidence
kwahiyo unasema nini:ZAB. 14:1
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Kama hadi mpumbavu ameweza kujua mungu hayupo inakuje we timamu ushindwe?ZAB. 14:1
Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
uliishaambiwa,ila hujakubaliana na majibu yao.Siku nikiambiwa Mungu alitokana na nini., nakua PASTOR
hata mimi nililelewa kwenye dini, tena zote kubwa mbili.Naamini siku nikimjua Mungu kikweli kweli nitamuabudu mpk afurahi Kama anauwezo wa kufurahi n.k
Binafsi hakuna mtu alienifanya kuwa agnostic au atheist isipokuwa Kama ni kosa Basi kosa hilo lilikuwa ni Mimi kuisoma biblia kiundani zaidi! Laiti nisingeisoma mpk leo nisingekuwa na mtazamo wa waaminio!. Wengi tunazaliwa ktk dini fulani hivyo ngumu kujudge kutokana na tulivyoaminishwa n.k kitabu au dini yoyote inatakiwa ikutongoze ndo uikubalie na unaposoma vitabu vya dini Soma ukiwa huru kimtazamo ili uweze kujudge alasivyo utakuwa unasoma kama sheria tu unazotakiwa kufata haijalishi ktk namna ipi ila wewe fata tu!..
Kama Mungu yupo basi atanifata kwa njia zake ambazo ataona Mimi nafaa kumuelewa,Kama yeye ni yuleyule wa miujiza ya kina yakobo na yesu n.k inashindikana nini yeye kuifanya sahivi ikiwa kauli yake ni ileile ya kutupenda!. Ifike mahali watu wasiogope kuhoji kuhusu Mungu n.k na kukosekana kwa majibu ya nani kaumba ulimwengu si kigezo tu Cha kufanya Mungu awepo! Anyway mambo ni mengi! Kwenye hili Jambo Kuna mengi mengi sana inategemea na uelewa wa mtu.
Nilihoji kwa muda mrefu.Jana nimeona thread ambayo ilimtambulisha OP kama atheist aliyetaka ushauri.
Hii ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona atheist Tanzania na cha kushangaza zaidi, ma-atheist walikuwa na uelewa mpana sana wa Philosophy and sciences kitu ambacho kilinishangaza.
So we kama ni atheist, unaweza kushare mtazamo wako wa ki-science na philosophia ambao unelezea kwanini we ni atheist.
mpumbavu kwa maana ya aliyeamua kukataa kuelewa jambo.Kama hadi mpumbavu ameweza kujua mungu hayupo inakuje we timamu ushindwe?
AiseeWe unahisi ntazikwa na nani[emoji23]
Kwani kuchimbwa shimo au kuchomwa moto kunahitaji theology au?
Em nieleweshe
mkuu kwani kipindi haupo 1800 ulikuwa umekufa!!!!kwanini unadhani ni sahihi kufikiria haya mazingira ni sawa sawa??hata mimi nililelewa kwenye dini, tena zote kubwa mbili.
lakini "kosa" kubwa walilolifanya ni kunipa elimu ya science, philosphy, na history.
hasa hasa history, kwani ukishafahamu nani alieandika biblia na quran, yani hakuna tena ile ladha ya zamani.
ukishajua dini zilipoanzia na historia ya watu waliozianzisha na walitolea wapi idea zao; utaangukia kicheko.
sasa msumali wa mwisho ni science.
ukishaelewa na kuhusika katika kufahamu jinsi dunia, universe, na mwili wa binadamu unavyofanya kazi, utaona dini ilivyokuwa inakupiga fixi
mara nyingi dini hizi utumua kifo kama mkwala: yani ukiwagusa tu, wanakuwambia ukifa ndo utajua; yani zaidi ya hapo hawana kingine.
tatizo linakuja unapotaka wakupe ushahidi wa yale wanayo yadai, kwani kila mtu atakufa, na hakuna anaeyjua nini kinakuja; na wala hakuna sababu yoyote ya kuwepo na chochote baada ya kifo. mi sikuwa hai mwaka 1800, na wala sikumbuki chochote; sasa kwanini kuwepo na chochote baada ya kifo.