Wale ambao ni ma-Atheist Tanzania kama mimi, niambie; ulifiakiaje hiyo conclusion?

HAWA NI WATU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUPATWA NA MAJANGA.

1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)
Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake (Hapo alilitaja kundi lake la The Bettle). Ilikuwa mwaka 1966. Wiki moja baada ya kutamba kwamba yeye na kundi lake lilikuwa maarufu hata zaidi ya Yesu, akapigwa risasi sita na kufariki.

2. TANCREDO NEVES (RAIS WA BRAZIL)
Alisema kwamba endapo angepata kura laki tano kutoka katika uchaguzi mkuu wa Brazil na kuwa rais, hata MUNGU asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa, akapata kura zaidi ya hizo, akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa, akafariki dunia.

3. CAZUZA (MWANAMUZIKI WA BRAZIL)
Alipokuwa katika shoo yake ndani ya jiji la Rio De Janeiro, alichukua sigara, akaanza kuivuta, akachukua nyingine na kisha kuirusha juu na kusema "Mungu, hiyo yako, chukua nawe uvute" Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu ambayo iliyaharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote yule.

4. MTENGENEZAJI WA MELI YA TITANIC.
Baada ya kutengeneza meli ya Titanic, mwanahabari akamuuliza ni kwa kiasi gani ilikuwa salama nae akajibu "Ni salama sana, haiwezi kuzama na hata Mungu hawezi kuizamisha" Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu Titanic.

5. BON SCOTT (MUIMBAJI)
Mwimbaji huyu ambaye alitamba miaka ya 70 alitoa wimbo wake mmoja mwaka 1979 wenye maneno haya "Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'. Tarehe 19 February mwaka 1980, alikutwa amekufa baada ya kupaliwa na matapishi yake.

6. Mwanamke mmoja alikuwa akihofia sana kuhusu ulevi wa marafiki wa mtoto wake.
Wakati wanataka kuondoka na gari, akamshika mtoto wake mkono garini na kumwambia "Binti yangu, Mungu awatangulie katika safari yenu" Yule binti akajibu "Gari imejaa mama, huyo Mungu labda akae kwenye boneti la gari". Baada ya masafa fulani ya safari yao, gari lile lilipata ajali kiasi ambacho hata polisi hawakujua ni aina gani ya gari lilikuwa. Lilikuwa limebondeka sana na watu wote walikutwa wamekufa. Kilichowashangaza polisi, trey la mayai wala halikuonekana kuguswa na hakuna hata yai moja lililokuwa limevunjika na wakati gari lilibondeka mpaka kutokutambulika.

7. CHRISTINA HEWITT (MWANDISHI WA HABARI)
Huyu alikaririwa akisema hivi "Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya...kibaya na kibaya kama Biblia" Siku chache baada ya kusema maneno hayo, mwili wake ulikutwa umeunguzwa na moto ambao haikujulikana mpaka leo ule moto ulisababishwa na nini.

8. MARILYN MONROE (MUIGIZAJI)
Huyu alifuatwa na Bill Graham na kumwambia kwamba alitumwa na Roho wa Mungu kwa ajili ya kumhubiria. Alimkaribisha ndani, akamsikiliza kwa makini, alipomaliza akasema "Simuhitaji Yesu wako, unaweza kuondoka nae". Wiki moja baadae, alikutwa amekufa katika makazi yake. Polisi walijaribu kuchunguza kipi kilimuua, mpaka leo hawajapata jibu.

We endelea kutoamini uwepo wa mungu .........
 
Humu Kuna watu kadhaa wamefanya dhihaka kubwa zaidi.kutokana na utafiti wako inabidi nao wajiandae kupokea pigo zito.
 
Kwani wasiomdhihaki Mungu hawapatwi na majanga?
 
kwanza tuambie ni mungu gani na wa dini gani ambaye aliyetoa adhabu kwa hao watu?

maana kuna maelfu ya dini na kila dini ina mungu wake sasa unapokuja kwenye umma kama huu kutangaza habari za majanga waliyopewa watu na mungu kwa kosa la kumdhihaki unatakiwa utuambie ni mungu gani kutoka dini ipi aliyetoa hayo majanga

halafu pia utuambie ni kiasi gani ambacho mungu akidhihakiwa huchukua action kwa kumpa majanga huyo mtu?

ili upewe majanga na mungu kwa kosa la kumdhihaki unatakiwa umdhihaki kwa kiwango gani, maneno gani?

unaenda mbali kuwatolea mifano kina JOHN LENNON wakati mimi niko JF huu mwaka wa nne sasa nimekua nikiambiwa namdhihaki mungu na hakuna chochote kilicho nitokea?

ni kwamba sijafikia viwango vya mungu alivyo vipanga kwa ajili ya kutoa majanga?

sumu ya udini ni hatari kuliko hata cyanide, unaweza criticize mungu na dini kisha watu wakakufanyia njama za kukujeruhi au kukuangamiza kisha wakatengeneza scripts kua umeuliwa na mungu kutokana na dhihaka uliyoifanya

mfano mzuri ni hapa hapa bongo ule mwaka ambao mtoto alichana na kuikojolea kuran baada ya mabishano na mtoto mwenzie aliyedai kua kuran ni kitabu cha mungu wa kweli hivyo yeyote atakayechana mungu atamuwajibisha hapo hapo kwa kumgeuza dubwasha (monster) au atakufa

baada ya mtoto kuichana kuran na kuthibitisha kwamba hakuna mungu anayeilinda kuran kile kitendo kilikuja kuamsha hisia na kuwakera waislamu, huwezi amini waislamu walisuka mpango wa kumuua yule mtoto

Imagine mbinu yao ya kumuangamiza mtoto ingefanikiwa, waislamu wote wangekuja kusema kua allah ndiye aliyetoa adhabu ya kifo. huenda ungekuja kuiweka hiyo rekodi kwenye hiyo list hapo kua mungu hadhihakiwi

mfano mwingine ambao nataka nikupe kuonesha upeo wenu wa ufikiriaji umeathiriwa na imani za kijinga ni kuhusu huyo mmiliki wa TITANIC

hapa nataka nijenge hoja kwa kukubaliana na dhana ya mmiliki wa meli ya TITANIC kupatwa na majanga kwasababu ya dhihaka aliyomfanyia mungu

let's say ni kweli jamaa alimdhihaki mungu na kwa kosa hilo anastahili adhabu kwa mungu, lakini adhabu hiyo inatakiwa imlenge yeye muhusika wa hiyo dhambi ya dhihaka na sio mwingine

sasa ukiangalia meli ya TITANIC ilivyozama haikumuua mmiliki tu, kulikua kuna maelfu ya watu mule mpaka watoto wachanga waliokufa waliokufa kwenye ajali ile. sasa hawa walishiriki ile dhambi ya dhihaka kwa namna gani mbona wameadhibiwa? (na ukumbuke huyo ni mungu mwenye upendo wote na huruma kwa watu wake)

mungu anaye adhibu mtu mwingine kwa kosa la mtu mwingine hawezi kua mungu wa haki na kwa pointi hiyo huyu mungu dhihaka peke yake haimtoshi labda achapwe vibao
 
HAWA NI WATU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUPATWA NA MAJANGA.

1. JOHN LENNON (MUIMBAJI)
Wakati alipokuwa akihojiwa na mwandishi wa habari wa gazeti la American alinukuliwa akisema hivi "Ukristo utakufa na kutoweka duniani, siwezi kuwa na wasiwasi na hilo kwa kuwa nina uhakika nalo. Mafundisho ya Yesu yalikuwa sahihi na wala sipingi hilo ila mafundisho yale yalikuwa mepesi sana ambayo mtu yeyote anaweza kuyafundisha. Hebu angalia leo, tumekuwa maarufu hata zaidi yake (Hapo alilitaja kundi lake la The Bettle). Ilikuwa mwaka 1966. Wiki moja baada ya kutamba kwamba yeye na kundi lake lilikuwa maarufu hata zaidi ya Yesu, akapigwa risasi sita na kufariki.

2. TANCREDO NEVES (RAIS WA BRAZIL)
Alisema kwamba endapo angepata kura laki tano kutoka katika uchaguzi mkuu wa Brazil na kuwa rais, hata MUNGU asingeweza kumtoa katika urais huo. Akafanikiwa, akapata kura zaidi ya hizo, akashinda uchaguzi, siku moja kabla ya kuapishwa, akafariki dunia.

3. CAZUZA (MWANAMUZIKI WA BRAZIL)
Alipokuwa katika shoo yake ndani ya jiji la Rio De Janeiro, alichukua sigara, akaanza kuivuta, akachukua nyingine na kisha kuirusha juu na kusema "Mungu, hiyo yako, chukua nawe uvute" Alifariki akiwa na miaka 32 kwa ugonjwa wa kansa ya mapafu ambayo iliyaharibu sana mapafu yake kuliko mgonjwa yeyote yule.

4. MTENGENEZAJI WA MELI YA TITANIC.
Baada ya kutengeneza meli ya Titanic, mwanahabari akamuuliza ni kwa kiasi gani ilikuwa salama nae akajibu "Ni salama sana, haiwezi kuzama na hata Mungu hawezi kuizamisha" Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu Titanic.

5. BON SCOTT (MUIMBAJI)
Mwimbaji huyu ambaye alitamba miaka ya 70 alitoa wimbo wake mmoja mwaka 1979 wenye maneno haya "Don't stop me; I'm going down all the way, down the highway to hell'. Tarehe 19 February mwaka 1980, alikutwa amekufa baada ya kupaliwa na matapishi yake.

6. Mwanamke mmoja alikuwa akihofia sana kuhusu ulevi wa marafiki wa mtoto wake.
Wakati wanataka kuondoka na gari, akamshika mtoto wake mkono garini na kumwambia "Binti yangu, Mungu awatangulie katika safari yenu" Yule binti akajibu "Gari imejaa mama, huyo Mungu labda akae kwenye boneti la gari". Baada ya masafa fulani ya safari yao, gari lile lilipata ajali kiasi ambacho hata polisi hawakujua ni aina gani ya gari lilikuwa. Lilikuwa limebondeka sana na watu wote walikutwa wamekufa. Kilichowashangaza polisi, trey la mayai wala halikuonekana kuguswa na hakuna hata yai moja lililokuwa limevunjika na wakati gari lilibondeka mpaka kutokutambulika.

7. CHRISTINA HEWITT (MWANDISHI WA HABARI)
Huyu alikaririwa akisema hivi "Nimesoma vitabu vyote duniani, ila hakuna kitabu kibaya...kibaya na kibaya kama Biblia" Siku chache baada ya kusema maneno hayo, mwili wake ulikutwa umeunguzwa na moto ambao haikujulikana mpaka leo ule moto ulisababishwa na nini.

8. MARILYN MONROE (MUIGIZAJI)
Huyu alifuatwa na Bill Graham na kumwambia kwamba alitumwa na Roho wa Mungu kwa ajili ya kumhubiria. Alimkaribisha ndani, akamsikiliza kwa makini, alipomaliza akasema "Simuhitaji Yesu wako, unaweza kuondoka nae". Wiki moja baadae, alikutwa amekufa katika makazi yake. Polisi walijaribu kuchunguza kipi kilimuua, mpaka leo hawajapata jibu.

We endelea kutoamini uwepo wa mungu .........
Kwa no1. Ukidhihaki wafia dini wanakuua kimyakimya halafu wanamsingizia mungu.Mungu kesha weka hukumu siku ya mwisho, tenda matendo yako siku ya mwisho yatapimwa ktk mizani.Sidhani kama kuna mistari katika vitabu vilivyoandika kuwa mungu atahukumu watu wanaompinga kwa kifo.
 
Marehemu alikua mbishi Sana,

Mungu wangu yupo na anaishi,

Nahisi hizo shibe ndo zinawapa viburi nyie 'atheists', Anyways kila la kheri mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wait, so if they are beyond our capacity to comprehend, how do select which to follow?

So I can believe in a flying laser wielding bra wearing chicken as a God?
or maybe I can believe in spaghetti around the sun creating day and night?

What makes your claim better than others claim

What is asserted without evidence, can be dismissed without evidence
Having no evidence doesn't mean that there isn't any.

If you don't have any evidence ,find it, Denying is concluding. And when you draw conclusion you stop seeking

Being Religious is Belonging to a particular group with particular faith,but being spiritual have nothing to do with a group, spirituality is practiced at individual level,

When it comes to spirituality you don't ask people to show you where your God is ,that is your business,their business is to find their God. ,

God can't be seen in physicality,God can be felt,Experienced ,. You can't experience God if you don't Practice,

If you practice and nothing happens ,may be you are doing it the wrong way,and God can't be blamed.

The vastness and immensity of life and existence are all pointing towards unceasing power of the Creator,a powerful force with infinite combinations and permutation, force that can't be comprehended by a 2 kg brain.

Don't stop seeking by Denying,seek ,and spiritual seeking is exclusively individual exploration and expedition, go as far as you can Go , don't philosophise spiritualism, don't scientize spiritualism

Philosophy is one type of knowledge , science is another branch and spiritualism is another branch, the same way you can't use philosophical principles to undertake a scientific task , the same way science and philosophy become MUTE about spiritualism, it's another branch of life Experience
 
Jana nimeona thread ambayo ilimtambulisha OP kama atheist aliyetaka ushauri.

Hii ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona atheist Tanzania na cha kushangaza zaidi, ma-atheist walikuwa na uelewa mpana sana wa Philosophy and sciences kitu ambacho kilinishangaza.

So we kama ni atheist, unaweza kushare mtazamo wako wa ki-science na filosophia ambao unelezea kwanini we ni atheist.
Mwafrika ndiyo binadamu wa kwanza hapa duniani according to science na history....pia inasemekana Mungu aliumba wanadamu kwa mfano wake, iweje leo hii wazungu na waarab wanatuletea uwongo wa kuwa Adam na Hawa ni either waarab ama wazungu wakati hawa binadamu wa kwanza walitokea hapa kwetu Afrika Msahariki? Yesu hajawahi kuishi wala kukanyaga Ulaya, iweje Yesu huyo huyo ambaye kakulia hapa Afrika akaja kuwa mzungu? Mohammad hajapewa unabii na Mungu bali kajipa mwenyewe kwa kulazimisha watu wamuite hivyo, iweje waarab waaminishe watu kuwa Mohammed ni nabii na aabudiwe? Mimi naamini Mungu ni mweusi kwani katuumba sie waafrika kwa mfano wake, waarab na wazungu wanalijuwa hilo na kwa kutaka kutuchanganya sie akili ili tuwaone wao wa maana wamekuja na uwongo wa dini zao ambazo nazo zinatokana na imani za kiafrika.
 
Naamini siku nikimjua Mungu kikweli kweli nitamuabudu mpk afurahi Kama anauwezo wa kufurahi n.k

Binafsi hakuna mtu alienifanya kuwa agnostic au atheist isipokuwa Kama ni kosa Basi kosa hilo lilikuwa ni Mimi kuisoma biblia kiundani zaidi! Laiti nisingeisoma mpk leo nisingekuwa na mtazamo wa waaminio!. Wengi tunazaliwa ktk dini fulani hivyo ngumu kujudge kutokana na tulivyoaminishwa n.k kitabu au dini yoyote inatakiwa ikutongoze ndo uikubalie na unaposoma vitabu vya dini Soma ukiwa huru kimtazamo ili uweze kujudge alasivyo utakuwa unasoma kama sheria tu unazotakiwa kufata haijalishi ktk namna ipi ila wewe fata tu!..

Kama Mungu yupo basi atanifata kwa njia zake ambazo ataona Mimi nafaa kumuelewa,Kama yeye ni yuleyule wa miujiza ya kina yakobo na yesu n.k inashindikana nini yeye kuifanya sahivi ikiwa kauli yake ni ileile ya kutupenda!. Ifike mahali watu wasiogope kuhoji kuhusu Mungu n.k na kukosekana kwa majibu ya nani kaumba ulimwengu si kigezo tu Cha kufanya Mungu awepo! Anyway mambo ni mengi! Kwenye hili Jambo Kuna mengi mengi sana inategemea na uelewa wa mtu.
Chief, umesoma vitabu vya dini zoote au umesoma biblia pekee?
 
Bible na Quran ni vitabu viwili vitakatifu visivyo na shaka ndani yake kwa mujibu wa wanaoamini. Lkn vitabu hivi viwili vimetofautiana kwa sehem kubwa sana iwe kwenye maamrisho au makatazo,au historia ya jambo fulani, mfano Quran imemuelezea nabii Issa (Yesu) tofauti na Bible ilivyomuelezea.Kitendo cha hivi vitabu viwili vitakatifu kutofautiana inamaanisha ;
1. Kimoja hakipo sawa (One is wrong)
2. Au vyote havipo sawa(both are wrong)

Nadhani wenye akili wamenielewa
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mwafrika ndiyo binadamu wa kwanza hapa duniani according to science na history....pia inasemekana Mungu aliumba wanadamu kwa mfano wake, iweje leo hii wazungu na waarab wanatuletea uwongo wa kuwa Adam na Hawa ni either waarab ama wazungu wakati hawa binadamu wa kwanza walitokea hapa kwetu Afrika Msahariki? Yesu hajawahi kuishi wala kukanyaga Ulaya, iweje Yesu huyo huyo ambaye kakulia hapa Afrika akaja kuwa mzungu? Mohammad hajapewa unabii na Mungu bali kajipa mwenyewe kwa kulazimisha watu wamuite hivyo, iweje waarab waaminishe watu kuwa Mohammed ni nabii na aabudiwe? Mimi naamini Mungu ni mweusi kwani katuumba sie waafrika kwa mfano wake, waarab na wazungu wanalijuwa hilo na kwa kutaka kutuchanganya sie akili ili tuwaone wao wa maana wamekuja na uwongo wa dini zao ambazo nazo zinatokana na imani za kiafrika.
mwafrica ni binaadamu wa kwanza kwa rejea ipi ya kitabu cha dini!!!!

usichanganye history na imani hapa.
 
mkuu kwani kipindi haupo 1800 ulikuwa umekufa!!!!kwanini unadhani ni sahihi kufikiria haya mazingira ni sawa sawa??

sisi watu waamini wa dini tunakuliana dini ni imani,shida yenu nyinyi mnaojiona hamuamini uwepo wa Mungu ni hii,mnataka dini ipate rejea za kisayansi.
sisi tuna kitu tunaita roho au nafsi,sijui huko kwenye biology hicho kitu kinakaa sehemu gani ha mwili???
 
Hakuna kitu kinanishangaza kama ninapoona wababa na wamama wanaongozana kwenda kanisani. Yaani huwa najiuliza hawa vichwani mwao wana nini?

Alafu unakuta ni mijitu mikubwa kabisa
 
Mimi binafsi najua MUNGU yupo ila ninachijiepusha ni hizi porojo za makanisani yani wametengeneza sheria za kutu guide,ila mimi nikaona nitembee na hii sheria:-

Mhu 12:13​

Hii ndiyo jumla ya maneno; yote yamekwisha sikiwa; Mche Mungu, nawe uzishike amri zake, Maana kwa jumla ndiyo impasayo mtu.
 
Nionavo mimi, dini ni kama njia/approach ambayo the wisest men wa huko zamani waliileta kuleta ustarabu/watu kua civilized katika jamii. Na vile binadamu ni selfish, dini ikawa corrupted na ndo maana kwa hii generation yetu tuliopo sasa hivi, dini inakosa relevance kabisa. Huhitaji unambie kuua au kuiba ni dhambi, ili ujue ni dhambi. Au uhitaji useme mwanaume ana haki ya kuoa wanawake wa 4 ili hali both men and women have got feelings. Mwanamke ambaye ni civilized hawezi kubali huo upuuzi.

I don’t buy myself into religion cause I’ll have to remove my room for knowledge to make a space for religion.
However, dini pia sio njia ya pekee ya kuelezea uwepo wa Mungu. Mimi nakataa dini, ila sikatai uwepo supernatural power.

I think overtime science cos it keeps advancing itaweza elezea the existence of God na kwa sasa hatujafika hio level. Science iko inspired na mysteries and uwepo wa Mungu ni mysterious thing. Thinking of things like Quantum entanglement, siwezi kataa uwepo wa Mungu. Itaniuma siku laptop/gari iseme mzungu hakuitengeneza kwa sababu tu binadamu wote hawapo tena duniani.

Anyway, I’m a spiritual being having human experience even if I don’t see it with my corrupted eyes, I do feel it.
 
Back
Top Bottom