Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

Wale ambao tangia ujiunge na jamiiforums hujawahi kutumiwa MSG tukutane hapa..

Ooooh kumbe ndio raha hivyo!!
Basi nasubiri pm mpendwa.
Halafu nitakwambia, mwenzako mimi sioni raha kama siku sijaona comment kwenye Jf.
I feel so happy when I see your comment, especially when you quote me.

Natamani nikuone..
Nikichat na wewe pm najihisi mimi ni Prince na wewe ni Princess
 
Back
Top Bottom