[emoji4]
[emoji60][emoji60][emoji60][emoji60]
Hizi emoj zako zimefanya usingizi wangu ukate.[emoji135][emoji135][emoji135][emoji135][emoji135]
Muulize mdogo mimi namaliza swaumu... Tutaongea baada ya Idd [emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]Mbona nilikuwa huko sijamuona?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]HAHAHAAAA. LOL
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] NIMECHEKA KWA SAUTI LOL. SITAKI MIE. HAHAHAAAAA.
Nimefunga leo jamaniHizi emoj zako zimefanya usingizi wangu ukate.
Sababu nilikuwa nasinzia hapa. Zina maana gani kwani?
Hahahaaaaa. Kila la kheri katika funga zako.Nimefunga leo jamani
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Hahahaaaaa. Kila la kheri katika funga zako.
Insha Allah.
Ahahahah utasonywaaa atiii ivuga jf nzima hakunaKama ulivyoniteka ukanipa vitu vya moto moto usiku kucha.
Ila wewe mtoto JF nzima hakuna.
Keep going, i like it[emoji101]Halafu nitakwambia, mwenzako mimi sioni raha kama siku sijaona comment kwenye Jf.
I feel so happy when I see your comment, especially when you quote me.
Natamani nikuone..
Nikichat na wewe pm najihisi mimi ni Prince na wewe ni Princess
Ok, kuna siku ulicomment message nzuri sana jukwaa la MMU. Msg ile niliielewa sana, nilihisi kama unaniambia mimi maneno mazuri kama yale ya upendo.Keep going, i like it[emoji101]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ok, kuna siku ulicomment message nzuri sana jukwaa la MMU. Msg ile niliielewa sana, nilihisi kama unaniambia mimi maneno mazuri kama yale ya upendo.
Kiukweli nilikosa usingizi, nikiwaza kweli dunia hii ina wanawake wazuri walioshushwa kama zawadi katika dunia hii.
Pm raha sana
Mimi sinakipaji cha kuchora, lakini hisia zilinipeleka mbali sana nikaichora sura yako. Sura yako inavutia sana hasa nilipochora macho yako mazuri na mashavu yenye tabasamu kama kwenye avatar yako.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpendwa ndio kamba unaxowafinga wadogo zangu humu!!! Ama kweli pm kuna mambo!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi sinakipaji cha kuchora, lakini hisia zilinipeleka mbali sana nikaichora sura yako. Sura yako inavutia sana hasa nilipochora macho yako mazuri na mashavu yenye tabasamu kama kwenye avatar yako.
Just imagine, Jf hatuonani lkn nimeichora picha yako nzuri. Nikutumie pm?
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naisubiri hiyo picha.
NshashtukaNgoja nikutumie mkuu