Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Swet-R,
Sijaona haja yakujuana. Hizo kesi zakupeans ukimwi huzisikii mmoja unaambiwa ameshajinyonga kisa ameambukizwa na mwanacha wa jf. Na wewe ndio kwanza unataka watu wajuane.
 
Si

Sijaona haja yakujuana. Hizo kesi zakupeans ukimwi huzisikii mmoja unaambiwa ameshajinyonga kisa ameambukizwa na mwanacha wa jf. Na wewe ndio kwanza unataka watu wajuane.
Biandam tunashindwa kurlewa kitu kimoja si kila mahusiano lazima yaishie kwenye sex au mapenzi

Mkiwa na uhusiano wa kishkaji inatosha huezi kulala na kila mtu
 
Kama unataka kukutana nao nenda kapande mwendokasi zinazotoka posta na moroko kuja kimara basi wate wako humu jf ndo hao
 
Kwanini usitake watu wajue ulionana na mimi? Kwangu nadhani wote wana matatizo.
Good....! Kama ulionana let's say @Daby,unasema tu mimi jamani humu nafahamiana na fulani na fulani,fulani ni mpole.
 
Kama unataka kukutana nao nenda kapande mwendokasi zinazotoka posta na moroko kuja kimara basi wate wako humu jf ndo hao
Duuh...! Sasa nataka kufahamiana nao kabisa. Nijue huyu wa JF,huyu ni fulani. Nifanyeje wa wa stendi
 
Si

Sijaona haja yakujuana. Hizo kesi zakupeans ukimwi huzisikii mmoja unaambiwa ameshajinyonga kisa ameambukizwa na mwanacha wa jf. Na wewe ndio kwanza unataka watu wajuane.
Soma vizuri makini hiyo tred yangu mkuu. Acha kukurupuka
 
Good....! Kama ulionana let's say @Daby,unasema tu mimi jamani humu nafahamiana na fulani na fulani,fulani ni mpole.
Kuna ulazima gani wa kujua? Kuna member mmoja alinifundisha kitu kikubwa sana, nimetokea kuzoeana nae tu japo hatujaonana bado ila huwa tunachat mara nyingi. Siku moja nikamuuliza humu anafahamiana na akina nani akanijibu hawezi kuniambia kwa sababu anaheshimu faragha zao, kuna watu wako na wake zao humu hao wake zao hawawezi kufurahi kusikia waume zao wanaonana na wanawake wa humu. Kuanzia siku hiyo nikajifunza kumbe sio ustaarabu kubaki unatangaza mimi nafahamiana na yule na yule.
 
Hili jambo kidogo linanishagaza sana wakuu, hivi inakuwaje hadi watu wanaanza kuwasiliana huko PM..???
Na ili ufike PM, unatakiwa kuingia kwenye jukwaa gani...!!!
Dahhhh, haya mambo mbona yananishangaza sana wallah....
Yaani Baba Paroko post nyingi zimenichekesha ila hii yako imefanya nicheke zaidi. LOL.
 
Utamu wa Jamii Forums usijuane na mtu. Otherwise utaanza jishtukia. We unadhani mfano Kiduku angekua anajuana na mtu zile mbwembwe angekua anazisema hapa.
Sitaki kuliamini hili Mkuu. Nadhani hii inatokana na namna utakavyojiweka kama unaigiza jf ni lazima ukikutana na mtu zile mbwembwe zipungue kidogo.

Kwa wale waigizaji ni lazima waogope kuonana na watu.
 
Shadeeya, ]Haha ila ni kweli alichosema, kuna ka-uhuru fulani hivi unakapoteza. Kuna baadhi ya nyuzi unaweza kujikuta unashindwa kuchangia kwa uhuru kwa sababu case inayoongelewa inafanana na member unayefahamiana nae unakuwa unaogopa kujimwaga maana anaweza kuhisi unamsema yeye
 
Huu uzi umefanya nisome pages zote leo. Niseme tu ambao hamjaonana na watu humu munakosa vingi. Kikubwa ni aina ya watu utakaochagua kuonana nao.

Kwani Jf ina watu wema kuliko kawaida.

Cc. Wote ndugu zangu tulioonana nje ya Jf. Mubarikiwe sijajuta kuwafahamu.
 
Kama unataka kukutana nao nenda kapande mwendokasi zinazotoka posta na moroko kuja kimara basi wate wako humu jf ndo hao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nadhani hii inatokea kwa baadhi ya watu Mkuu kwani kwangu mpaka sasa kwa wale watu kadhaa nilioonana nao bado haijawahi kunitokea.

Sa sijui hawana Ma Id mengine mengine 🤔🤔🤔🤔 au wananistahi. 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…