KadogooCate
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 484
- 1,100
Waongo ksbis haoHebu niulize kwani wanajf ni watu wa aina gani
.mashetani?
.majambazi?
.wakabaji?
.wabakaji?
.wanyongaji?
.wanyonya damu?
.wauza unga?
.wezi?
.wachawi
.n.k
Maana watu weeeeengi wanadai hawajawahi onana pia hawana huo mpango.
Basi mi nilijua ni watu wa kawaida kama mimi.