Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Hebu niulize kwani wanajf ni watu wa aina gani

.mashetani?

.majambazi?

.wakabaji?

.wabakaji?

.wanyongaji?

.wanyonya damu?

.wauza unga?

.wezi?

.wachawi

.n.k

Maana watu weeeeengi wanadai hawajawahi onana pia hawana huo mpango.
Basi mi nilijua ni watu wa kawaida kama mimi.
Waongo ksbis hao
 
At least we have the luxury of exchanging views on any subject anonymously, does not matter how intimate it is, no time wasting and you don't 've to look over the shoulder either.

Nafikiri umenitafsiri kwa context tofauti!

Nimesema hivyo kuonesha kwamba sio lazima ukutane na mtu kupata huduma fulani maana offline zipo!

JF ni mijadala moto moto tu hakuna haja ya ku-get personal na watu mpaka kulalana na kujuana majina na sura na kadhalika!

Nilimaanisha kwa context hiyo!

JF ni tunapata mijadala,I can give them that!
 
Mwenyewe nimekutania mwenza. Kuna watu wema sana jamani. Basi tu wanachafuliwa na wachache wanaotaka kugeuza huku sehemu yao ya kuonyesha uanaume na uanamke kwa kubadili sketi na suruali na kuanikana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenza natania bwana, wapo watu ninaofahamiana nao humu na 90% ni wastaarabu kabisa
 
Wale ambao toka ujiunge hujawahi kukutana uso kwa uso na member yote humu na wala humjui member yoyote humu,hebu tukuje tujuane hapa. Nimeleta huu uzi baada ya karibia wiki lote hili kuona kilio ni PM,huko PM kumechafuka. Hasa wakibonga PM wanaonana na kupeana vya kupeana. Japo mitaani nako viko nako vingi viUKIMWI,lakini ndugu zanguni nawaaasa hizi PM za humu inaonyesha ni hatari kuliko hatari unayoifikiri. Wiki hili limekuwa la vilio kuhusu kupeana vya kupeana baada ya PM. Uzi tayari
Wale walionana si unaona wanalia na leo Ni siku ya UKIMWI dunian
 
Sasa watu kama ninyi ndio mnafanya watu waogope kuonana na watu hamjui kuheshimu privacy za watu. Hivi kwa mfano kama mlionana kweli na yeye hataki ijulikane kuwa mlionana si unamletea tabu?
Kwanini usitake watu wajue ulionana na mimi? Kwangu nadhani wote wana matatizo.
 
Eheeeee...! Tena we dogo under 25 ndio nilikuwa nakutafuta saaaana. Bora umejitambua,usimame na msimamo huo huo. Wewe umejitambua,lakini nataka nikuambie wenzio wengi hiyo age wanajitupia humo,hawajali cha umri. Chunga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom