We know each other and u remember where we met in ZanzibarUkweli ni upi?
Huyo atakuwa kilaza mkuu alikuwa na haja gani ya kukupiga picha wakati unatumia verified I'dInategemea hapa Jf unafanya nini,upo kwa ajili gani,huwa unaandika nini,huwa unapost nini na wakati gani.
Huku watu tumekutana,tumebadilishana hadi mawasiliano na kuonana uso kwa uso na bado kila mmoja akabki na siri bila kumtaja mwenzake hadharani,wengine wanaogopa sana hasa kwa sababu wengi wamefeli kufahamu maana halisi ya forums na usiri wake hasa katika forum hii,kama hujiamini acha kabisa kukutana na member wa humu.
Mi niliwahi kukutana na member mmoja halafu akanipiga picha ya sura yangu,hakufahamu kama nami nilimshtukia na ku,mpiga picha na yeye.
Ni hatari sana usijaribu ukategemea Moods watakutetea saa ukiingia mtegoni.kuwa makini,nasema tena kuwa makini.
Hawajiamini au wao ndo marafiki wabaya. Kuna mawafiki wazuri Sana humu jf mafurushi pia yapo ya kutosha ni wewe mwenyewe kujua unataka kujihusisha na watu wa namna ganiHaiwezi kuwa sababu, mbona mimi na lisura langu libaya naonana nao tu
Ndio hapo niliposhangaa,halafu kapiga picha bila kuniambia,tatizo kuwaba hakua makini kuishikilia simu yake.Huyo atakuwa kilaza mkuu alikuwa na haja gani ya kukupiga picha wakati unatumia verified I'd
Hawajiamini au wao ndo marafiki wabaya. Kuna mawafiki wazuri Sana humu jf mafurushi pia yapo ya kutosha ni wewe mwenyewe kujua unataka kujihusisha na watu wa namna gani
Sasa watu kama ninyi ndio mnafanya watu waogope kuonana na watu hamjui kuheshimu privacy za watu. Hivi kwa mfano kama mlionana kweli na yeye hataki ijulikane kuwa mlionana si unamletea tabu?We know each other and u remember where we met in Zanzibar
Mkuu mi ninachojua jf ni kijiwe Cha state machinery never mess up with anyone by virtue of mere trust itakula kwako Bora nyie verified kidogo mko salama kwa Ben sanane ulikuwa ni ujinga mkubwa kumpoteza !!Ndio hapo niliposhangaa,halafu kapiga picha bila kuniambia,tatizo kuwaba hakua makini kuishikilia simu yake.
Kuna member humiu ndani wanafanya kitu inaitwa incorrect supposition kama sikosei jina la kitaalamu wanatumia hilo,ukijiingiza tu umeumia.
Team praise power hamna shida msala uko kwetuWengine jf inatupa mpunga tunapiga biashara za hapa na pale kuona sio uovu kabisa kwetu ila kaz ipo kwa wachakataji
Kabisa ndio maana inahitaji kiuwa makini sana.Mkuu mi ninachojua jf ni kijiwe Cha state machinery never mess up with anyone by virtue of mere trust itakula kwako Bora nyie verified kidogo mko salama kwa Ben sanane ulikuwa ni ujinga mkubwa kumpoteza !!
Unadhani Mimi kilaza ? Ha ha ha I know which line I shouldn't cross !!Sasa watu kama ninyi ndio mnafanya watu waogope kuonana na watu hamjui kuheshimu privacy za watu. Hivi kwa mfano kama mlionana kweli na yeye hataki ijulikane kuwa mlionana si unamletea tabu?
Hilo ni sawa pia.Hili pia linawezekana, lakini wapo wale wasiopenda kujichanganya wanataka kutenganisha maisha yao ya nje na ya humu
OkUnadhani Mimi kilaza ? Ha ha ha I know which line I shouldn't cross !!
Endelea na uwongo wako.We know each other and u remember where we met in Zanzibar
Sio mzima huyo ananitafutia ban.Sasa watu kama ninyi ndio mnafanya watu waogope kuonana na watu hamjui kuheshimu privacy za watu. Hivi kwa mfano kama mlionana kweli na yeye hataki ijulikane kuwa mlionana si unamletea tabu?
Wale ambao toka ujiunge hujawahi kukutana uso kwa uso na member yote humu na wala humjui member yoyote humu,hebu tukuje tujuane hapa. Nimeleta huu uzi baada ya karibia wiki lote hili kuona kilio ni PM,huko PM kumechafuka. Hasa wakibonga PM wanaonana na kupeana vya kupeana. Japo mitaani nako viko nako vingi viUKIMWI,lakini ndugu zanguni nawaaasa hizi PM za humu inaonyesha ni hatari kuliko hatari unayoifikiri. Wiki hili limekuwa la vilio kuhusu kupeana vya kupeana baada ya PM. Uzi tayari
Wengine humu ni mafundi wazuri mbona wanakuja home tunenda kwao unaogopa nini ?wemgine wapo kibiashara. Nilishawai letewa mzigo toka USA na jf member hapa nikaufuata ofisini kwake. Nikabeba mzigo sikuuliza eti mwenye ID fulan JF yupo hapa.
Labda nyie mnaofuata madem. Umenikumbusha serikali wakati fulani walikamata condom fake wakaenda kuzichoma watu wengi wali panick.