Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Yaani sio tu kuonana mimi huu ni mwaka wangu wa 8 jf nikitumia id nilioacha baada ya kufungua hii sijawahi hata kum PM mdada yeyote wa JF ila ninavyoona watu wanavyochakatana baada ya kukutana pm, mpaka nastuka.
 
Niliwahi kumuhuisi dada mmoja niliyemuona njia panda ya ulaya, jinsi nilivyomuona, swaga na kwa mbaali nikaona anaperuzi JF, nikajisemea huyu anaweza kuwa Lara1....

Niliishia kuhisi....sijawahi hata kwa bahati mbaya kumkuta mtu anaperuzi JF, achilia mbali kukutana au kufahamiana na mtu yeyote.....ingawa nimeanza kufuatilia hii forum kabla ya kuitwa Jamii.
Duuuh...! Anaweza akawa yeye mkuu
 
Wengine humu ni mafundi wazuri mbona wanakuja home tunenda kwao unaogopa nini ?wemgine wapo kibiashara. Nilishawai letewa mzigo toka USA na jf member hapa nikaufuata ofisini kwake. Nikabeba mzigo sikuuliza eti mwenye ID fulan JF yupo hapa.

Labda nyie mnaofuata madem. Umenikumbusha serikali wakati fulani walikamata condom fake wakaenda kuzichoma watu wengi wali panick.
Wema wapo wengi tu humu mkuu. Humu ndio kisima cha maarifa kimo. Nazungumzia sana walioumizana huko PM mkuu
 
Yaani sio tu kuonana mimi huu ni mwaka wangu wa 8 jf nikitumia id nilioacha baada ya kufungua hii sijawahi hata kum PM mdada yeyote wa JF ila ninavyoona watu wanavyochakatana baada ya kukutana pm, mpaka nastuka.
Na wewe umestukia ile michakato mkuu?
 
Hakuna haja ya kuulizana wala Kujua. Everybody should mind his damn business.
Kuna mtoto nilimzamia PM hakujibu Leo hii ninashukuru kutokujibu kwake huenda nilikuwa nautafuta msiba, sijawahi kukutana na member yeyote ingawa job kuna watu najua wako JF lakini hawajawahi kuniuliza wala kuwauliza kuhusu JF ni as if hakuna anaeijua!
 
Back
Top Bottom