Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekutana nao wengi sana na tumefanya mengi sana.Wale ambao toka ujiunge hujawahi kukutana uso kwa uso na member yote humu na wala humjui member yoyote humu,hebu tukuje tujuane hapa. Nimeleta huu uzi baada ya karibia wiki lote hili kuona kilio ni PM,huko PM kumechafuka. Hasa wakibonga PM wanaonana na kupeana vya kupeana. Japo mitaani nako viko nako vingi viUKIMWI,lakini ndugu zanguni nawaaasa hizi PM za humu inaonyesha ni hatari kuliko hatari unayoifikiri. Wiki hili limekuwa la vilio kuhusu kupeana vya kupeana baada ya PM. Uzi tayari
Kuna biashara lazima uonane na member,kule kwenye jukwaa la kilimo na biashara. Vinginevyo huwezi fanya biashara mtandaoni mfano unahitaji mazao au shamba la kununua au kukodi au gari,lazima muonane tu.I dont meet and talk to strangers. Huwa tunamalizana hukuhuku kwenye comments
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usikubali kukutana nao mwaya. Si umeona huku wengi psychopath eti
Tufanye tuonane shemeji.Sijawahi