Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

[emoji23]usiwaseme vibaya wazee wa jf
 
Team praise power hamna shida msala uko kwetu
"Many things you feared have been in your place for years "deleted people
Mimi naandikaga chochote sina id nyingine ni hii pekee ila siogopi kukutana na strangers 80 ya customer wangu ni strangers tu
Nimewahi kukutana na member humu alikua anaish UK bonge moja la mstaarabu alikua na idea ya kufanya biashara kama yangu ,aliniachia mashine brand new ya zaid ya 1.5m kwa 200k . Nilichojifunza ni kwanza negative mindset attracts negative energies
 
Meeting yangu ya kwanza itakuwa na atakayenipa connection ya kazi[emoji123][emoji123]
 
Hili jambo kidogo linanishagaza sana wakuu, hivi inakuwaje hadi watu wanaanza kuwasiliana huko PM..???
Na ili ufike PM, unatakiwa kuingia kwenye jukwaa gani...!!!
Dahhhh, haya mambo mbona yananishangaza sana wallah....
 
Njoo. Pm ntakuelekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…