Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Wale ambao toka ujiunge jf hujawahi kukutana na member yoyote

Watu hawaaminiki mkuu, wengine hymu ni wale watekaji wa ben saa nane na wengine ni wasiojulikana
Basi sawa. Lakini muda mwingine ni vizuri kuonana kubadirishana mawazo. Chagua wale unaoona wanaendana na tabia unazotaka
 
Watu wengine sijui hatuielewi jamiiforum? Kusudi la hii platform ni kwa ajili ya watu kuongea kwa uwazi kwani unalindwa usiri wako wa kutojulikana. Sasa unataka ujulikane hapo utakuwa huru kutoa hisia zako kweli? Maoni na hisia zako kwa taasisi, serikali, mtu binafsi, n.k. upande mwingine zinaweza kuhatarisha usalama wako. Sasa unataka ujulikana ili iweje? Kama unataka kujulikana haina shida weka Avatar ya sura yako na kwenye profile yako weka namba ya simu na mahali unapoishi na ziwe public alafu njoo utoe povu lako kwa serikali, taasisi na watu binafsi baada ya hapo utajua habari yake.
 
Binafsi, PM naenda kupiga stories, au kuuliza maswali personal ambayo sio vyema kuuliza hapa.
Wadada wa JF nimeonana na naendelea kuonana nao sana tuu, tunapiga stories hawana shida kabisa.
Labda mimi nina bahati ya kuonana na wadada peace na waelewa, so sioni hatari yoyote ya PM au kuonana, ingawa hata wa kumfata PM huwa naangalia michango yake hapa JF.
 
Nafikiri tutaendelea kuonana huku huku kwenye comments tu.
 
Back
Top Bottom