Jackson94
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 492
- 560
Mimi nakumbuka ilikuwa ni mwaka 2008 nikiwa katika pita pita zangu nikafika kwenye mjengo mmoja wa maana ulikuwa na madirisha ya vioo vile vyeusi si nikaanza kujiangalia vile vioo huku nikiwa najikenurisha mara bila kujua kuwa kumbe ndani kuna mtu ananitizama mara gafla lile dirisha likafunguliwa weee kidogo nizimie asee maana kilikuwa ni kitendo cha kushtukiza.
Je wewe hii hali ilipokutokea ilikuwaje??
Je wewe hii hali ilipokutokea ilikuwaje??